Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Nilivyoona hiyo avatar nilidhanj ni Nifah nikajua labda ameungama

So ikabidi nicheki ID Mara mbili mbili ahaaaa kumbe ze bolidi hahaha
 
Bravo
Tatizo kubwa tulilo nalo kama taifa ni kutowatia moyo mashujaa wetu, Diamond is our champion kwenye musical industry. Ni bahati mbaya sana hatuna utaratibu mzuri wa kuenzi heros wetu ktk sekta mbalimbali na ndio maana tunashindwa kuzalisha vijana wapya mahiri badala yake ni kuwapiga vita ili wasizidi kupata mafanikio. Diamond Go Go Go Go. ....
 

Kabisa Mkuu! Watanzania tumekuwa stadi sana kuwapiga vita heros wetu..
 
Thubutuuuu,utaniteka kwa vyote darling lakini sio kunitoa k/koo.
Hiyo vita yake hutoiweza [emoji135]
[emoji23] [emoji23] subiri utaona tu wewe mwenyewe utakavyo kuja humu unashangilia WCB.. Mpaka utajishangaa
 
Diamond Platinumz Mon bin Laden Chibu Dangote Mr Qxygen Simbaaa
 


Hit song ya [HASHTAG]#MarryYou[/HASHTAG] by Simba @diamondplatnumz from Tanzania,East africa imefanikiwa kuingia katika Top 20 ya video bora za wasanii wapya nchini Marekani (United States of America)
[HASHTAG]#MALENGO[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…