Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Nilivyoona hiyo avatar nilidhanj ni Nifah nikajua labda ameungamaWoyooo! Naona uzi wetu umerudi.. Sijui waliuficha wapi..
Hebu tuufufue tena wakuu.. Winners, watu wa mipango, Wadau, wapenzi na mashabiki wote wa # WinnersCycle WCB.. Hiki kijiwe chetu kimerudi..
Sasa Nifah ole wako mkafufue kile kiuzi chenu cha kiba, si unajuaga nikikasirika [emoji35]
So ikabidi nicheki ID Mara mbili mbili ahaaaa kumbe ze bolidi hahaha