Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

hahahahaaa embu acha kuvunja mbavu zangu,kwa hiyo uliskia upande wa pili kichwani kwako akajaa kiba??? so umeshamfanya mondi na kiba simba na yanga au???
Labda uamue kubisha tu ila kwa jukwaa hili na trend ya karibuni basi upande wa pili wa chibu ni kiba!! Sio ben Paul wala mavoko!!

Ngoja nianzishe Uzi wa mashabiki wa diamond na kiba kwa pamoko?!
 
Labda uamue kubisha tu ila kwa jukwaa hili na trend ya karibuni basi upande wa pili wa chibu ni kiba!! Sio ben Paul wala mavoko!!

Ngoja nianzishe Uzi wa mashabiki wa diamond na kiba kwa pamoko?!

skia dada yangu Deo Corleone usiwe mwepesi wa ku assume,mi ndio nime anzisha huu uzi na nilipo sema upande wa pili nili maanisha haters wa diamond na wapinga maendeleo ya vijana wenzao kwa ujumla na hakuna nilipo taja kiba,sasa kama fans wa kiba mpo kwenye kundi la haters na wachukia maendeleo ya vijana wenzenu basi it z right for u to cry out louder.
 
Last edited by a moderator:
Labda uamue kubisha tu ila kwa jukwaa hili na trend ya karibuni basi upande wa pili wa chibu ni kiba!! Sio ben Paul wala mavoko!!

Ngoja nianzishe Uzi wa mashabiki wa diamond na kiba kwa pamoko?!

so u cant change ua mind set aaah??
 
Ngoja nianzishe Uzi wa mashabiki wa diamond na kiba kwa pamoko?!

ha ha ha ha..,

mkubwa kuwa wazi tu, DIAMOND ana TAWALA CELEBRITY.

imagine hata akina peny,wema,zari etc. , all using his mighty name DIAMOND.

Huo uzi wa fans both side hauta fanikiwa hapa.

CHAGUA MOJA- FID Q.
 
tupo kama milioni tisa nchi nzima
 
habari zote za chibu zipitie hapa ndo ziende kwingine....ilikuwa ni aibu kwa msanii mdogo kama kiba awe na special thread halafu dimond asiwe nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…