umaskini mbaya kweli,wameshindishwa jamvini kisa buku 20 duh kweli adui yako mwombee njaa.ameanzisha thread bcoz yeye ni mjapani then alijua sudan kusini lazma waje bcoz hawana ujanja
Form is Temporary but CLASSIC is permanent......Ally Kiba town kitambo kipindi hicho Diamond anagombea kupiga picha naye while Ally Kiba anafanya yake!For more info.muulize Queen Darleen......msilete ushabiki maandazi hapo!Nilikuwepo
form is temporary CLASS is permanent......sio CLASSIC IS PERMANENT......
Thanks!Umeelewa.....mkibisha sana ntaweka hapa picha ya 2008 kipindi hicho jamaa yenu anajipendekeza kwa Ally Kibaform is temporary CLASS is permanent......sio CLASSIC IS PERMANENT......
Thanks!Umeelewa.....mkibisha sana ntaweka hapa picha ya 2008 kipindi hicho jamaa yenu anajipendekeza kwa Ally Kiba
Form is Temporary but CLASSIC is permanent......Ally Kiba town kitambo kipindi hicho Diamond anagombea kupiga picha naye while Ally Kiba anafanya yake!For more info.muulize Queen Darleen......msilete ushabiki maandazi hapo!Nilikuwepo
sasa wewe unazungumzia nani kaanza muziki zamani au nani sasa hivi mkali na ana mafanikio kwenye muziki???
kama kuanza zamani walikuwepo kwanza unit,gwm,unique sisters etc wakati huo huyo ali kiba wako yuko darasa la kwanza au hata hajaanza.
kama unazungumzia mafanikio na nani yuko juu kwenye bongo flava sidhani kama hata kuna mjadala...there is only one,DIAMOND.
Ha ha ha ha....kule kuna Matola ana jiita japan then surbodinates wake ni team sudan ya kusini njaa kali.dooh kazi kweli kweli.
Form is Temporary but CLASSIC is permanent......Ally Kiba town kitambo kipindi hicho Diamond anagombea kupiga picha naye while Ally Kiba anafanya yake!For more info.muulize Queen Darleen......msilete ushabiki maandazi hapo!Nilikuwepo
Hata Mr. Nice alianza kabla ya Kiba... nilikuwa nahudhuria show za Mr. Nice wakati nasoma wakati kazi ya kwanza ya Ali Kiba niliinunua wakati nimeajiriwa... kwahiyo hapa hatujadili nani kaanza coz' hata huyo Kiba si miongoni mwa walioanza... wapo wa mwanzo kama Mr. Paul na Four Crewz Flavor yao , Da Young Mob, KU, DPT, WWA, n.k... hapa tunaongea kuhusu wanaokimbiza hivi sasa.. kajipange!Form is Temporary but CLASSIC is permanent......Ally Kiba town kitambo kipindi hicho Diamond anagombea kupiga picha naye while Ally Kiba anafanya yake!For more info.muulize Queen Darleen......msilete ushabiki maandazi hapo!Nilikuwepo
Ali kiba anaimba vzr but dangote pia japo wa Jana anaimba vzr pia
ali kiba ni kwa dar es salam but diamond ni kwa africa nzimaa
ali kiba ni kwa dar es salam but diamond ni kwa africa nzimaa