Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,560
hahahaha.nyimbo imetoka juzi tu but hadi mchina ameshaishika kweli diamond ni shiiidah
acha kabisa ni balaa aliwachezesha wazungu ngororo chibu ni shidaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaha.nyimbo imetoka juzi tu but hadi mchina ameshaishika kweli diamond ni shiiidah
ndo shida ya kujifunza kimombo kwenye filamu za kibongo,makosa kibaooo
Haa... wale nyie wapuuzeni tu! Dangote sasa ana view zaidi ya 415,000 wakati hata saa 100 hazijafika tangu video iwe uploaded... views zote hizo hakuna aliyelipwa hata sh. 500 watu wanaenda wenyewe kwa raha zao!! Tena bora wapeane hizo buku 20 ili waongeze bundle wakafaidi vizuri Nitampata Wapi ingawaje hawaji kutupa mrejesho!!!
Makamanda nina video ya mchina akiimba wimbo wa nitampata wapi ila nashindwa kuiupload ambaye ana acess Aseme nimrushie watsaap aje hta pm ili aje aweke kwenye jukwaa watu wapate udambwiudambwi
jiulize duly sykes na huyo kibaka nani alianza mziki?then jiulize nani ana hit singo tangu anaanza mziki then ukipata jibu ndo ujue nani ndo king wa bongo fleva
Muda c mrefu dai ataanza tour yake Burundi na Rwanda
ndo shida ya kujifunza kimombo kwenye filamu za kibongo,makosa kibaooo
Kama kawAida mambo ya kuvuka boda.
Jaman Diamond anakipaj Sana lakin maringo take yatamshusha soko
Zai pokea likes milioni laki kumi na tano elfu sabini na mia tatu na nusu......
I always wanted to give them that kind of an example lakini nikaona kwa kuwa their hearts are full of hatred they won't even get my point.
Watu kama Dully Sykes walau you can dare to call them kings..
Coz toka wanaanza hawajawahi kukosea wala kushuka....na ukianza kupanga nyimbo zao na ukaanza sikiliza hata sasa bado zinakupa burudani kama uloipata wakati nyimbo zinatoka..
Msanii ambae anafata hizo nyayo ni chibu kwa sasa...
Ukianza kupanga nyimbo za chibu kuanzia kwa KAMWAMBIE mpaka NUMBER ONE,hakuna wimbo ambao Dogo kakosea....na uzuri zaidi unaona kuna maboresho ktk kila song from music to videos.
Binafsi wakati chibu anaanza nkaona hana muda mrefu baada ya mbagala.mara nkasikia ntarejea nkasema maybe ya mwisho mwisho,kustuka naskia MAWAZO(always my favourite) nkasema hatotoa tena kama mawazo,sijakaa sawa naskia lala salama mara kizai zai yaani mara kesho yaani mradi vurugu...mwenyewe nikakata tiketi ya ushabiki namba moja wa chibu.
So mm mtu akija na Sera zake za ufalme na reference akiwa alli binafsi namuona hayuko sawa.
Angekua anaringa angekuw anarudi tandale???
wengine tutaishia kupiga tour mtwara tu

halafu mtu akirudi ana tangaza kapokewa kama mfalme ha ha ha King mvaa moka ana mbwembwe za kifukara sana.
Kaka mrejesho mbona huwa wanatoa??? Sema wanatoa kinafki na kwa kificho ili wasimkwaze bosi wao...
Ukitaka uamini we tembelea accounts zao zingine za social networks utakutana na hizi hash tags
#tatizoNyotaa
#kunaXna ×
#lazimaUjueKutofautishaKatiYaMsalabaNa +
Nimeshuhudia kwa my own pua hahaha,na wakibisha nawataja etiii teh teh
ila sio kosa lake ndo level zake hizo
x na kuzidisha haziwezi kuwa sawa
"Ukimwonaa.. ukimwonaa.. tinti ntintiii tantantantaa tinti ntintii tanta ntwantwaa" (Gitaa la mwishoni pale)
Angekua anaringa angekuw anarudi tandale???