only 5 days views wote hao kweli kaka dangote shikamoo
Gmorning wadau,kwa wale wagonjwa na wenye matatizo mbalimbali Mungu awape nguvu......!!!
mapambano yana endelea.....habari za asubuhi wadau?
Gmorning wadau,kwa wale wagonjwa na wenye matatizo mbalimbali Mungu awape nguvu......!!!
Project ina endelea
And it's no longer laki nne but laki tano na elfu kadhaa!!!only 5 days views wote hao kweli kaka dangote shikamoo
And it's no longer laki nne but laki tano na elfu kadhaa!!!
Chibu ana maneno jamani khaaa!!!
Eti "hasa niwasikie kwa hiii" hahahaah
Flying high
Project ina endelea
ila usijali watu wengi wa tanesco n diamond fever so wakshtak utashangaa unaambiwa usilipe bili had januari ili ule ngwati juu ya ngwati
Q Chilla mwenyewe kakubali kulipiea hela afanye nyimbo na video manina Dai
Wala usijali....ila ukifika bungeni utakuwa na kibarua cha kumlinda My Daktari....manake nae kashachukua jimbo bado kuapishwa tu....Naogopa wasije kuniibia kama Machemli nikapatwa na Magharibi ya roho mie....utakuwa bega kwa bega na Shem wako......
Kaka wote kwa chibu tulianza kwa kusitasita lakini sahivi hutuambii kitu....
Hapo kwenye jitihada hebu kamata hii hapa.
bado ananijia ndotoni ila nikiamka simwoni,bado ananijia nikilala hakiyamungu sio masiharaaa