Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Project ina endelea
 

Attachments

  • 1416972481580.jpg
    1416972481580.jpg
    60.5 KB · Views: 90
Wala usijali....ila ukifika bungeni utakuwa na kibarua cha kumlinda My Daktari....manake nae kashachukua jimbo bado kuapishwa tu....Naogopa wasije kuniibia kama Machemli nikapatwa na Magharibi ya roho mie....utakuwa bega kwa bega na Shem wako......

haya mambo haya.
 
bado ananijia ndotoni ila nikiamka simwoni,bado ananijia nikilala hakiyamungu sio masiharaaa

mi unga unga haku nijali.mjengoni leo hatulali escrow team hawana hali,team PAC tupeni habari ha ha ha remix hiyo.
 
Back
Top Bottom