zai katoto
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 325
- 227
Niko siasani wakuu lissu anaongea....kamata wezi meeennnn....
huku kwetu umeme umekatika tangu asubuh yaan tunakosa raha kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko siasani wakuu lissu anaongea....kamata wezi meeennnn....
huku kwetu umeme umekatika tangu asubuh yaan tunakosa raha kweli
Escrow escrow kwa kweli inauma sana kuona watu wana tetea ujinga.
e bana eee tunajua ESCROW ilipo tupo huku makusudi mbona tunaharibiana siku???!!! mimi nimezunguka mji huu mchana kutwa na jua kali hata buku 10 sijaiona sasa unanitajia watu wanawekea bilioni bilioni kwenye akaunti bure bure tu!!!! tuache tupunguze stress huku
Mi ndo napendaga iyo mambo
Ndio maana majuzi nikatoa post kushauri watu mchaji simu zenu , na kama earphone hamna na mzitafute ili msipitwe... Hata hivyo, ulichokosa si raha bali karaha... hivi unaota kuna siku utakuja kuingiza mfukoni bilion 1.6 kiulaiiiiiini, bila kuvuja jasho?huku kwetu umeme umekatika tangu asubuh yaan tunakosa raha kweli
Vumilia, ndo ukubwa huo... ndo maana baada ya kutiana maudhi, tunaamua kuja kupunguza stress huku!Escrow escrow kwa kweli inauma sana kuona watu wana tetea ujinga.
Ndio maana majuzi nikatoa post kushauri watu mchaji simu zenu , na kama earphone hamna na mzitafute ili msipitwe... Hata hivyo, ulichokosa si raha bali karaha... hivi unaota kuna siku utakuja kuingiza mfukoni bilion 1.6 kiulaiiiiiini, bila kuvuja jasho?
Habari ndo hiyo, kama unaona wanafaidi, na wewe ingia kwenye siasa hakuna aliyekukataza! Kwa hamasa aliyonipa Kim nana, nami naingia kwenye siasa na ndio maana nimehamia jukwaa la siasa kwa muda ili nikapige kampeni za "MUST GO" vizuri...bilioni moja ni sawa na milioni elfu moja.dah mkwanja wote huooo watu wanapeana zawad wakati wafanyakaz wengine wanalipwa lak tatu tu kwa mwezi
Habari ndo hiyo, kama unaona wanafaidi, na wewe ingia kwenye siasa hakuna aliyekukataza! Kwa hamasa aliyonipa Kim nana, nami naingia kwenye siasa na ndio maana nimehamia jukwaa la siasa kwa muda ili nikapige kampeni za "MUST GO" vizuri...
Tena laki tatu kabla ya kodi...bilioni moja ni sawa na milioni elfu moja.dah mkwanja wote huooo watu wanapeana zawad wakati wafanyakaz wengine wanalipwa lak tatu tu kwa mwezi
Heshima kwako mheshimiwa Mbunge mtarajiwa....Aluta continua....aliye juu anafuatwa huko huko......!
Angalizo; Ukininyima mgao wa deals za hatari aisee ntakuendea Mkunyaa kukurogaa....hahahaaaa......
ha ha ha mabilioni ya escrow yame impress wengi kuingia kwenye siasa pesa nje nje kule.