Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Escrow escrow kwa kweli inauma sana kuona watu wana tetea ujinga.
 
Skia hii kutoka kwa platnumz
 
Attachments

  • 1417110226130.jpg
    58.5 KB · Views: 128
Escrow escrow kwa kweli inauma sana kuona watu wana tetea ujinga.

e bana eee tunajua ESCROW ilipo tupo huku makusudi mbona tunaharibiana siku???!!! mimi nimezunguka mji huu mchana kutwa na jua kali hata buku 10 sijaiona sasa unanitajia watu wanawekea bilioni bilioni kwenye akaunti bure bure tu!!!! tuache tupunguze stress huku
 
Kweli mkuu jipoze tu na hit za chibu akili ikae sawa.
 
Jamani eskuro imifanya nimishindwa kutisama bigi bladha afirika....
Muenye pwicha pwicha atupiemo wajemeni
 
huku kwetu umeme umekatika tangu asubuh yaan tunakosa raha kweli
Ndio maana majuzi nikatoa post kushauri watu mchaji simu zenu , na kama earphone hamna na mzitafute ili msipitwe... Hata hivyo, ulichokosa si raha bali karaha... hivi unaota kuna siku utakuja kuingiza mfukoni bilion 1.6 kiulaiiiiiini, bila kuvuja jasho?
 
bilioni moja ni sawa na milioni elfu moja.dah mkwanja wote huooo watu wanapeana zawad wakati wafanyakaz wengine wanalipwa lak tatu tu kwa mwezi
 
bilioni moja ni sawa na milioni elfu moja.dah mkwanja wote huooo watu wanapeana zawad wakati wafanyakaz wengine wanalipwa lak tatu tu kwa mwezi
Habari ndo hiyo, kama unaona wanafaidi, na wewe ingia kwenye siasa hakuna aliyekukataza! Kwa hamasa aliyonipa Kim nana, nami naingia kwenye siasa na ndio maana nimehamia jukwaa la siasa kwa muda ili nikapige kampeni za "MUST GO" vizuri...
 
Last edited by a moderator:
Mmeamkaje wadau mwenye vipande vya big brother aanze kutupiamo
 
Jamani na hiiii msisahau wale wenye wivu wananuna tuuu
 
Attachments

  • 1417159454195.jpg
    59.2 KB · Views: 110
  • 1417159471327.jpg
    57.7 KB · Views: 97
Habari ndo hiyo, kama unaona wanafaidi, na wewe ingia kwenye siasa hakuna aliyekukataza! Kwa hamasa aliyonipa Kim nana, nami naingia kwenye siasa na ndio maana nimehamia jukwaa la siasa kwa muda ili nikapige kampeni za "MUST GO" vizuri...

Heshima kwako mheshimiwa Mbunge mtarajiwa....Aluta continua....aliye juu anafuatwa huko huko......!

Angalizo; Ukininyima mgao wa deals za hatari aisee ntakuendea Mkunyaa kukurogaa....hahahaaaa......
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwako mheshimiwa Mbunge mtarajiwa....Aluta continua....aliye juu anafuatwa huko huko......!

Angalizo; Ukininyima mgao wa deals za hatari aisee ntakuendea Mkunyaa kukurogaa....hahahaaaa......

ha ha ha mabilioni ya escrow yame impress wengi kuingia kwenye siasa pesa nje nje kule.
 
ha ha ha mabilioni ya escrow yame impress wengi kuingia kwenye siasa pesa nje nje kule.

We acha tu....yani nlikuwa nawaza kwa mfano napewa milioni 800.....Ningezimia kwanza.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…