Diamond kachukua Tuzo
MOST GIFTED TALENTED EA..
Diamond kachukua Tuzo
MOST GIFTED TALENTED EA..
Woyooooooiii kweliii hhhhaaaaaaa
acha walambe ndimuuuuuu
Salam hizo ziwafikie mtaa wa pili
Hiyo ilikuwa lazima achukue,ngoja tusubiri alipombanishwa na Davido,halafu jamaa kamthank baby wake.
Salam hizo ziwafikie mtaa wa pili
Hiyo ilikuwa lazima achukue,ngoja tusubiri alipombanishwa na Davido,halafu jamaa kamthank baby wake.
Let us wait and see..
Kamthank Zari maana hapa full kelele watu kushangilia sijasikia
Huyo Zari si hata mwezi hawajamaliza tokea wapo woteee,ama kweli tatizo nyoooootaLet us wait and see..
Kamthank Zari maana hapa full kelele watu kushangilia sijasikia
Huyo Zari si hata mwezi hawajamaliza tokea wapo woteee,ama kweli tatizo nyooooota
Pale ilikuwa ngumu,ingekuwepo category ya waeast africa peke yao angepata,nitaamini ni nyota kama akipata category ambayo yupo na Davido na wengine wa kutoka different parties of AfricaMbona kipindi kile walienda na wema wakakosa tuzo ,,ilikua tatizo nyota eeeeee
Salam hizo ziwafikie mtaa wa pili
Pale ilikuwa ngumu,ingekuwepo category ya waeast africa peke yao angepata,nitaamini ni nyota kama akipata category ambayo yupo na Davido na wengine wa kutoka different parties of Africa
Seriously!!!!
Mbona kipindi kile walienda na wema wakakosa tuzo ,,ilikua tatizo nyota eeeeee
Huo ndo ukweli ila Domo kazidi mwe,kila mwaka mpya,bado vidumu kina menina sijui Hamisa.Jamani ana pepo yuleHeheeeeeeee hamkosi sababuuuu