Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Attachments

  • 1417287577934.jpg
    1417287577934.jpg
    48.3 KB · Views: 137
Mbona kipindi kile walienda na wema wakakosa tuzo ,,ilikua tatizo nyota eeeeee
Pale ilikuwa ngumu,ingekuwepo category ya waeast africa peke yao angepata,nitaamini ni nyota kama akipata category ambayo yupo na Davido na wengine wa kutoka different parties of Africa
 
Heheeeeeeee hamkosi sababuuuu
 
Back
Top Bottom