Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Oyooooo bado mojaaaa tukalale na Zari wetu sieee.....
Yaan hapo ni mabao mpaka mornieeeeeeeeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyooooo bado mojaaaa tukalale na Zari wetu sieee.....
Team Kiba wanasherekea besidei lol
Hapa wanaisoma kimya kimya..Hapa nilipo nachekajeeeee
Yaan hapo ni mabao mpaka mornieeeeeeeeeeee
Yaan hapo ni mabao mpaka mornieeeeeeeeeeee
Si unajua ile MTV imemsaidia kumtangaza,sasa haya ndo mavuno,ama kweli nyota ya WEMA ni kali
Hahaahaaa hahahaaaa, tena double double
Hiii nyotaaa....hadi nalia peke yanguuuu.....
Yalaaaaa.....uthitheme hivo jamaniiiii....
Hapa wanaisoma kimya kimya..
Nyoooooota,Davido ,iyanya sijui mafikizolo out,Domo unatoboa ozone hongera
Anastahili Pongezi
Hard work pays...
Ya kweli haya jamani?stress zipi?Alimpa stress hadi akakonda....Huyo ni baby Zarinah nakati ya UG.....
Napenda mafanikio yake but i hate ukitombi wakeWelcome kwenye ulimwengu wa chibu heheheeeeeeiyaaaa
Team Kiba wanasherekea besidei lol
Kawarushie bas mapicha kule au watakuja huku huku kwanza kufikia kesho natabiri kutakua na nyuzi 20 za dai hapana chezeyaaa