Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

KWA mara nyingine, kijana hajatuangusha.... aaahh, na leo tena nyama, mnatuumiza pua jamani!!!!

Leo ndo watajulikana ni akina nani waliambiwa wanye boga!!!!!

http://channelo.dstv.com/2014/11/choamva14-winners/

weee sio nyama tu n nyama pamoja na vitunguu saumu yaan tunawaumiza kwelikweli pua zao,wenyewe wameshazoea kisamvu yaan hii ni shida
 
kazi wanayo yaan wanavyojitahidi kujaza sredi hatari ila jana wamejaziwa vya kutosha kwa kupelekewa taarifa.sisi huku ni matuzoo tu ndo tunachokitaka

Eti wanaona kujaza thread ndo mafanikio ya huyo baba yao
 
KWA mara nyingine, kijana hajatuangusha.... aaahh, na leo tena nyama, mnatuumiza pua jamani!!!!

Leo ndo watajulikana ni akina nani waliambiwa wanye boga!!!!!

http://channelo.dstv.com/2014/11/choamva14-winners/

Acha kijana awafundishe kutofautisha hao wakina fudenge maana wanajua kupambanisha tena pasipokuwa na possibility ya wao kushinda....
NI.. CHECHEEeeeeeee
 
Back
Top Bottom