Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,560
Kuna mtu kanichekesha kule et anawaambia mashabiki wa kiba wana moyo mgumuuuu
wana roho ngumu kweliii siutani...
maana karibia nchi nzima inashangilia wao tu ndo wamekunja sura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu kanichekesha kule et anawaambia mashabiki wa kiba wana moyo mgumuuuu
Sijui nijipenyeze nikamzalie:becky::becky::mimba:
Hahahahahah rahaaaaa nilikuwa na hasiraaa balaaa mtaa wa pili maneno mengi vitendo piliton
sasa jamani wimbo kama wa "mwana" unaweza kuwekwa kwenye category ipi kwenye hizo tuzo? au wimbo bora wa kienyeji?
Rahaaa sanaaa....nadhani hata Pinda huko aliko anafungua Shampeni.....aiiiiii....
Kwa raha hizi wagonjwa wa tezi dume lazima wapone harakaaa....
Dai weeeeeeeee......
Kwikwikwi uvumilivu umenishinda nienda kuwachokonoa kule kwenye uzi wao
sasa jamani wimbo kama wa "mwana" unaweza kuwekwa kwenye category ipi kwenye hizo tuzo? au wimbo bora wa kienyeji?
Hahahaaa wana kiwewe eti wanaweka mlinzi wa zamuuuu....wanajuuuta kumuunga mkono yule mbabaaa....wanajikaza tuu....
Ha ha ha sa si ndio collabo ya lena na ticha jamaniKwani English inaambukizwa kwa kugegedana? Naye katumia muda wake kujifunzaa....Kumbuka readiness of the learner katika kuinfluence teaching and learning.....
Madam usitake nifungue ma Curriculum hapa....ushaelewa....
Atakuwa yupo south huyuuuu......
Ha ha ha sa si ndio collabo ya lena na ticha jamani