Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Hahahahahah rahaaaaa nilikuwa na hasiraaa balaaa mtaa wa pili maneno mengi vitendo piliton

Rahaaa sanaaa....nadhani hata Pinda huko aliko anafungua Shampeni.....aiiiiii....

Kwa raha hizi wagonjwa wa tezi dume lazima wapone harakaaa....

Dai weeeeeeeee......
 
Kwani English inaambukizwa kwa kugegedana? Naye katumia muda wake kujifunzaa....Kumbuka readiness of the learner katika kuinfluence teaching and learning.....
Madam usitake nifungue ma Curriculum hapa....ushaelewa....
Ha ha ha sa si ndio collabo ya lena na ticha jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…