Shoga angu so nlisema mie....Dhiki Mbaya hasa ukiiendekeza......
Diamond kaiba tuzo tatu huko bondeni.
eti mtaa wa pili wanasema clouds ndo wamembeba chibu eti kweli??
Wanamwaga mitusi haooo....eti page ziongezeke wapewe bundle.....
@pinno Nimefuatilia nomination na washindi wa tunzo za channel o music video awards 2014 kuna kitu naona hakipo sawa,
Na nadhan kama hawa waandaji wataendelea hiv
Ni aidha tuzo zitakosa mvuto kwanza wa wasanii wenyewe wanaojituma na kwa mashabiki wao.
Haiwezekan et wimbo wa Davido "Ayo" wenye viewers karibu 13M ukose tuzo hata moja na umekuwa nominated more than two times. Halafu hapo hapo et wimbo usioeleweka wa Shebeleza ujinyakulie tuzo tatu ikiwemo ya best video of the year. Huyo msanii mwenyewe anajulikana South Africa tu. Ahhhjj
Huu ni upendeleo wa waz kabisa kwamba Channel O wamepanga ili kupunguza Domination ya mziki wa Nigeria but kiualisia those guys are doing good et.
Dance of the year, et Personally ya P square na Ayo ya Davido zinakalishwa na Shebeleza ambayo hata wanachocheza hakionekani.
Umekuwa ni Upendeleo wa wazi kabisa ambao unafanya hata washindi wenyewe washindwe kujisifu kwa kuona kuwa wamebebwa.
Lait My number 1 ingechukua tuzo hata moja tu na hyo Shebeleza ikachukua tuzo moja then akin a Davido na P square nao wakachukua zao kihalali ,am telling you kungekuwa na impact kubwa kuliko sasa ambapo zimeonekana kama ni tuzo za maunderground.
Channel O TV Online | Full list of CHOAMVA winners
Wako busy kusikiliz nakshi nakshi mrembo.....kuna watu wapo outdated humu duniani.....
Kuna mtu amesema watanzania ni mazuzu ila huyu ni mmoja wa yeye kitu chochote bora lazima kiwe nje ya Tanzania sijui kwa nini hajiamini na haamini kama watanzania tunaweza.
hahahaha wanamatatizo hao sio bure,
Hard work payz!! Sasa wao wamekalia kufuta vumbi tu
Wanamwaga mitusi haooo....eti page ziongezeke wapewe bundle.....
Kuna mtu amesema watanzania ni mazuzu ila huyu ni mmoja wao yeye kitu chochote bora lazima kiwe nje ya Tanzania sijui kwa nini hajiamini na haamini kama watanzania tunaweza.
Nimeenda wachungulia,,, niwewakuta wanatakiana j pili njema... Ha ha ha ha ha.....
Nimekimbia fasta., hawakawii kutukana.
hahahaaaaa wapo nyuma ya dunia kweli.. eti wanasikiliza cindelela
View attachment 206698wale wa mtaa wa saba mnakaribishwa tusherekee kwa pamoja, maana nyie kufikia hapa sawa na masikio kuzidi kichwa.
View attachment 206698wale wa mtaa wa saba mnakaribishwa tusherekee kwa pamoja, maana nyie kufikia hapa sawa na masikio kuzidi kichwa.