View attachment 206698wale wa mtaa wa saba mnakaribishwa tusherekee kwa pamoja, maana nyie kufikia hapa sawa na masikio kuzidi kichwa.

Waaaaaaaaaaaaaaaaoooooo....mtaa wa saba watajijjuu (in King Majuto's voice....)
Yaan kule povu wanacomment tu kila mtu kivyakeee
Nimeenda wachungulia,,, niwewakuta wanatakiana j pili njema... Ha ha ha ha ha.....
Nimekimbia fasta., hawakawii kutukana.
wana roho ngumu kweliii siutani...
maana karibia nchi nzima inashangilia wao tu ndo wamekunja sura
View attachment 206698wale wa mtaa wa saba mnakaribishwa tusherekee kwa pamoja, maana nyie kufikia hapa sawa na masikio kuzidi kichwa.
Nimeenda wachungulia,,, niwewakuta wanatakiana j pili njema... Ha ha ha ha ha.....
Nimekimbia fasta., hawakawii kutukana.
Hahahaa nimeonaaa...wamepoteanaaa.....eti hata achukue tuzo zote duniani hawana habari...
Roho Mbaya mzigo mweeee....
ha ha ha una jua jamaa walikua wAnasubiria mond akose tuzo waanze kusema tusinge kaa humu ndani wale waswahili wana vyo jua kuongea.
Hahaaaaaa mambo ya kutakiana jumapili njema hahaaaaaaaaaaaaaa
uskute inamuuma na hivi anapenda mashauzi anatamani angekuwepo
Hahaaaaaa mambo ya kutakiana jumapili njema hahaaaaaaaaaaaaaa
Kuwepo anatamani... na hata mbele stejini angeenda sana tu sema ndio hivyo tena
Angekosa kama nawaona ambavyo wangekua wanashangilia...... Wameumbuka vibaaya
Hahahaha.., wanafarijiana,, wanapeana matumaini....
Hhhhhhaaaa yaan hebu kachungulieko uchekeee tu wanaharishaaaaa haooo, ,wakali leooo wengine siwaoni
She is so lovely.....sweet...basi tu huwa hajielewi....
Mapenzi haya yanaweza kukufanya Mtu ukaonekana wa ajabu....