Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

wana roho ngumu kweliii siutani...
maana karibia nchi nzima inashangilia wao tu ndo wamekunja sura

hahaha mpaka daimond aache mziki watu wengi watakuwa wamezeeka kabla ya umri wao maana watanuna kila mara na kila siku wanavyonuna uso unazid kuwa na makunyanzi yaan unakunjana balaa kiufupi wajiandae na uzee utakaopata kabla ya umri wao
 
Hahahaa nimeonaaa...wamepoteanaaa.....eti hata achukue tuzo zote duniani hawana habari...

Roho Mbaya mzigo mweeee....

we thubutuuu roho inauma mbaya kuona msanii usiyempenda na uyelmzomea na unayetaka ashuke anabeba vyuma kama vile yaan ni sawa na una njaa then unataka ndizi alafu sasa ukazkosa hapo unakuwa huna budi zaidi ya kusema SIZITAKI MBICHI HIZI
 
Queen Darleen ambaye ni dada yake na Diamond, hana tatizo na ‘bandika bandua’ ya mawifi wanaotambulishwa kwake na kaka yake huyo. Kwa mujibu wa Queen, hayo ni maisha yake na anayaheshimu.

[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]Queen ambaye pia ni mwanamuziki, amesema kila msichana anayetambulishwa kama wifi yake, humpa heshima anayostahili.
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif][/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]“Mapenzi siku zote ni ya watu wawili ndio maana unaona hata mimi nina maisha yangu kama maisha yangu siingilii chochote.
[/FONT]
[FONT=Georgia, Times New Roman, serif]
Yaani mimi Diamond ukitaka kunichafua umwongelee vibaya. Jambo lolote baya kuhusu yeye, muziki yake na maisha yake binafsi. Kwa sababu kuna watu wengine wanapenda kuzungumzia mambo ya watu, ‘sijui Diamond anaringa’,”CHANZO CL
[/FONT]
 
Back
Top Bottom