Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

View attachment 206718
Huu mziki umekua mgumu sasa, sijui lini nitamfikia Diamond. View attachment 206719

hahahaha king weee hukujua ya kuwa kuwa namba moja siyo kazi kaz ni kuendelea kuishikilia hiyo namba,ulikuwa king zaman but ukashindwa kuitendea haki nafasi yako now mfalme halisi kaja si unajua tena opportunities never come twice
 
Hv huyu ni dada yake kabisa wa kuzaliwa? Nilikuwa sifahamau.
 
Huyu Darleen......Halima Kimwana.......na Yule aliyeolewa juzi na petit man........nani ndio dada yake wa kuzaliwa........

au na mimi naweza kusema ni dada yake Usher Raymond...........?
 
Huyu Darleen......Halima Kimwana.......na Yule aliyeolewa juzi na petit man........nani ndio dada yake wa kuzaliwa........

au na mimi naweza kusema ni dada yake Usher Raymond...........?

Na Darleen wameshare baba. ....Na Esma yule mke wa Petit wameshare mama...na ndo kipenzi chake.....

Huyo Halima mdananda tuu....Dada wa hiyari....
 
Ni dada ya ke wa kuzaliwa? Wapi yule msemaji wake hapa Jf adhibitishe
 
warumi atakua kalazwaaa ana halu mbayaaa sanaaaa

Mashabiki wa ndomo ni waswahili kama boss wao, sasa mtu unaanzaje kulamba ndimu kwa mfano? What for? Yani mmekaa kishakunaku kama pindiru vile apo ndomo hata uwepo wenu haujui, angekuwa anawafahamu pangetosha, ebu tutoleeni upuuzi wenu.

By the way nilikuwa busy na graduu, namshukur mungu kwa apa nilipofikia, maana kumaliza masters sio mchezo wa ngololo au kitorondo, wala sio tuzo za kilimanjaro music awards useme had akina mpoki na mpoto wanapewa, im great kwa kweli. Hii kwangu ni Tuzo tosha zaidi hata ya BET, habare ndo hyo.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…