Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Kama kweli umemaliza MASTERS HONGERA.

HAYA NA WEWE MPONGEZE DIAMOND.

Yes, nime graduate juzi cuzoo

Hongera zake, maana kuna watu wametumia pesa nyingi sana kuwa maarufu na kujaribu kufahamika dunia nzima, ila hawakuweza hata kufika robo ya stage aliyofikia ndomo, kuna watu wamezaliwa ULAYA na kukulia uko, tena wamesoma kabisa shule za muziki za bei mbaya na wanaweza kutumia vyombo vyote vya muziki na kuimba kama chris brown au Neyo, ila hawakuweza kufika hata robo ya stage aliyofikia ndomo.

Wakati wakina papa Nyangumi na papaa pumb* wakiteketeza ma million ya shilingi kutafuta umaarufu ambao mpaka kesho wameishia kufahamika Meeda bar na rose garden, mtoto wa watu tena kutoka Tandale ameweza kuiteka Africa nzima na kuiweka kiganjani mwake, Sio kwa ajili ya pesa nyingi kama bakhresa , ila ni kipaji tu kimemtoa kwenye herufi Z to B
 

Cuzooo hayo ndio manenoooo sasaaaa saa ingine hua unajitoa akilii
 

Asante binamu kwa kulitambua hilo......anastahili pongezi.....from zero to hero.....si kazi ndogo...
 
Hii picha imekaribia kunitoa chozi.....anampenda mama yake ...Bi Mkubwa sijui kama aliwahi kuwaza ataenda South Siku moja....Sasa ameenda as a star...Camera zote kwao.....Mashallah hakuna kama mama....

Acha tu yaani nashindwa hata kuelewa how happy her mom is....
 

alvyokosa za mtv base na bet ilkuwa mnashangilia hapa mara oooh alipo davido daimond hakai yaan maneno kbao now kashinda oh za kawaida mara bla bla bla.yaan dangote anawasumbua kweli
 

Shikamo warumi Umeongea ya maana sana
 
Last edited by a moderator:
Wanajitoa ufahamu eti sijui tuzo zimefanyaje....ndo basi tenaaaaaaaaaaa......misura imewashukaaaaaa chezea tatu bilaaaa...
 
alvyokosa za mtv base na bet ilkuwa mnashangilia hapa mara oooh alipo davido daimond hakai yaan maneno kbao now kashinda oh za kawaida mara bla bla bla.yaan dangote anawasumbua kweli

Hawana hawana LA kusema hawana...
Anaunguruma unguruma LA kusema hawana....

Hawamuwezi ndo mana wanamsemaaa
Hawamuwezi ndo maana wanamchukiaaaa

Na badooooo....wakaoge wasugue na makwapa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…