Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa


Ila lile jidada ni lizuri mweh mweh mweh, bonge la mguu kama kopo la baltika
 
Mkuu mimi nisha piga zote mpaka vote zikaisha......

Fresh hivyo ndo inatakiwa,na ngoma zikitoka unazama mkito unanunua na sio kwenda hulk share au kutumiaa watsaaap

Tusapoti mziki mzuri
 
Tunampaongeza kijana Diamond kwa juhudi zake na tunamwambia kaza buti na awapuuze hao wenye roho mbaya wanaomtakia mabaya.
 
Kwa kweli Diamondo namkubali, miziki inachezeka, hata mwanagu wa darasa la tatu anajua nyimbo zake zote pamoja na kuzicheza, siitaji kumfagilia zaidi lakini hata wattoto wanampenda sana ingawaje huwa nachukia tabia yake yakuwameza na kuwatema kama big jii walembo wa bongo wasaka noti. lakini kazi na dawa watafune tu.
 
Hata mimi mama mkubwa ........ namwombea REHEMA na BARAKA kutoka kwa MUNGU.
 

ukisema hivi majirani wana chukia but huo ndio ukweli dogo mondi ana kubalika.
 
daah yani warumi leo ume kubali kushindwa?

Wala sitaku kuupa huu uzi promo, kama wamemfungulia thread bwana yao, waache waendelee kumsifia na kumtukuza jinsi anavyowala tigo na kuwalipia bundle zao za kuingia JF, uzi wenyewe toka hasubuhi mpaka sasa umedoda, wanatafuta KICK niongee thread ijae ionekane kwamba wao ndo wao, apa wamechemsha, im too expensive for this league
 
Last edited by a moderator:

Tatizo nini bina banaa twende kulee
 

Bila shaka wewe umefanyiwa hayo yote hivyo unazani wote ni wajinga kama wewe
 
mjinga ni mama yako aliekuzalia kwenye kinyeo ndio maana huchoki kushabikia vilivyooza

Pumbafu homa zote za nini? Vilivyo oza ndio vinakuleta huku mbio mpaka unasahau kuvaa chupi mjinga we we..
 

i was illiterate kwa warumi ni expensive kwenye hili jukwaa ooopppssss eti service ni kweli haya ayasemayo huyu mtu? mtvbase ume sikia maneno haya?
 
Last edited by a moderator:
i was illiterate kwa warumi ni expensive kwenye hili jukwaa ooopppssss eti service ni kweli haya ayasemayo huyu mtu? mtvbase ume sikia maneno haya?

Only stupidity wanaamini maneno ya warumi huyu jamaa ni mtu wa misifa atuache na thread.yetu kama imedonda nini kimemleta huko!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…