Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Inawezekana pia wakawa hawajagongana maana si wanatafuta kick kwa ajili ya project wanayoifanya, ila niliwahi kusikia kuwa zari uko kwao uganda ni kahaba kama alivyo wema sepetu, ye akitaka mwanaume yeyote lazima alale nae, so inawezekana pia ndomo kashamgonga kwa asilimia kubwa

Ila lile jidada ni lizuri mweh mweh mweh, bonge la mguu kama kopo la baltika
 
Tunampaongeza kijana Diamond kwa juhudi zake na tunamwambia kaza buti na awapuuze hao wenye roho mbaya wanaomtakia mabaya.
 
Kwa kweli Diamondo namkubali, miziki inachezeka, hata mwanagu wa darasa la tatu anajua nyimbo zake zote pamoja na kuzicheza, siitaji kumfagilia zaidi lakini hata wattoto wanampenda sana ingawaje huwa nachukia tabia yake yakuwameza na kuwatema kama big jii walembo wa bongo wasaka noti. lakini kazi na dawa watafune tu.
 
ukisema hivi majirani wana chukia but huo ndio ukweli dogo mondi ana kubalika.
 
daah yani warumi leo ume kubali kushindwa?

Wala sitaku kuupa huu uzi promo, kama wamemfungulia thread bwana yao, waache waendelee kumsifia na kumtukuza jinsi anavyowala tigo na kuwalipia bundle zao za kuingia JF, uzi wenyewe toka hasubuhi mpaka sasa umedoda, wanatafuta KICK niongee thread ijae ionekane kwamba wao ndo wao, apa wamechemsha, im too expensive for this league
 
Last edited by a moderator:

Tatizo nini bina banaa twende kulee
 
Wala sitaku kuupa huu uzi promo, kama wamemfungulia thread bwana yao, waache waendelee kumsifia na kumtukuza jinsi anavyowala tigo na kuwalipia bundle zao za kuingia JF, uzi wenyewe toka hasubuhi mpaka sasa umedoda, wanatafuta KICK niongee thread ijae ionekane kwamba wao ndo wao, apa wamechemsha, im too expensive for this league

Bila shaka wewe umefanyiwa hayo yote hivyo unazani wote ni wajinga kama wewe
 
mjinga ni mama yako aliekuzalia kwenye kinyeo ndio maana huchoki kushabikia vilivyooza

Pumbafu homa zote za nini? Vilivyo oza ndio vinakuleta huku mbio mpaka unasahau kuvaa chupi mjinga we we..
 
Wala sitaku kuupa huu uzi promo, kama wamemfungulia thread bwana yao, waache waendelee kumsifia na kumtukuza jinsi anavyowala tigo na kuwalipia bundle zao za kuingia JF, uzi wenyewe toka hasubuhi mpaka sasa umedoda, wanatafuta KICK niongee thread ijae ionekane kwamba wao ndo wao, apa wamechemsha, im too expensive for this league

i was illiterate kwa warumi ni expensive kwenye hili jukwaa ooopppssss eti service ni kweli haya ayasemayo huyu mtu? mtvbase ume sikia maneno haya?
 
Last edited by a moderator:
i was illiterate kwa warumi ni expensive kwenye hili jukwaa ooopppssss eti service ni kweli haya ayasemayo huyu mtu? mtvbase ume sikia maneno haya?

Only stupidity wanaamini maneno ya warumi huyu jamaa ni mtu wa misifa atuache na thread.yetu kama imedonda nini kimemleta huko!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom