mtvbase
JF-Expert Member
- May 22, 2014
- 1,243
- 561
mkuu hivi yule mtu ni me au ke? maana naonaga thread zake anachimba sana privacy za watu.
Mwanaume lakini kutwa kukaa kusutana na wadada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu hivi yule mtu ni me au ke? maana naonaga thread zake anachimba sana privacy za watu.
Only stupidity wanaamini maneno ya warumi huyu jamaa ni mtu wa misifa atuache na thread.yetu kama imedonda nini kimemleta huko!!!!!
Mwanaume lakini kutwa kukaa kusutana na wadada
frankly speaking mi nilikua najua warumi ni mdada kumbe ni wa kiume? ha ha ha.
Hahahahahah mkuu hata mimi.jamaa.kama.mwanamke vile eti linajisifia kuwa umbeya rahaaa do ukistaajabu ya musa utaona ya warumi.....
Jadilini topic jamanii
daah Mungu kaumba wana damu kiupekee sana aisee.
Mkuu naisubiri kwa hamu new song ya dia ili tumalize kazi...kabisadaah Mungu kaumba wana damu kiupekee sana aisee.
Jadilini topic jamanii
Haaaa hawa nao naona wameanza OOT...
Blog imerudi hewani
Nimekimbia fasta kufunguaa lakini sioni maubuyuuu, ,,ngoja nirudiko tenaaaa
U know le tamkoozzz yeye siyo big celebrity hahahahhahah
Letamkoz wamekuta akikojoa barabarani
Letamkoz wamekuta akikojoa barabarani
hapo alikua ana kojoa mkojo wa kawaida kweli? mbona kama ana upasha msuli moto mpaka miguu imeishiwa nguvu.