Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Project
 
Attachments

  • 1416775304695.jpg
    1416775304695.jpg
    39 KB · Views: 64
Uwiiiii...hii so ndo wanasema ni ya picha duka?

Hivi diamond akae za zali siku zote zile afu akose hata mdendeko??????
Wakati nyotaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hahaha......
Au tulete na ya mkono kupaja?????
 
Acha project iendelee

I like zari,damn....the lady is so hot jamani khaaa.....kaka chibu ukionekana na high class women kama hao watu hawapendi kaka.....wanataka ubaki na wale wa tandale etiiiiii
 
Nafikiri atakua ameongea na Meda kwa upana zaidi kule iringa.Jembe letu linashow love kwa vipaji vichanga safi sana
 
Hivi diamond akae za zali siku zote zile afu akose hata mdendeko??????
Wakati nyotaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hahaha......
Au tulete na ya mkono kupaja?????

Angemuacha hivi hivi angepata dhambi jamani.......lete na mkono kupaja nijionee....zambi sao wenyenyewe...aiiiiiiiiii.......
 
Hahaaaa we jamaa wewe

Unajua kuna watu wanataka kama mtu hakua na Pesa afu akapata baadae,basi aendelee kuishi maisha yaleyale ya zamani...nonsense

Wao walitaka mpaka leo diamond awe bado anaishi tandale awe bado anadate watoto wa tandale...asiwe nominated hata tuzo za kili achilia zile za MTV na bet.....
Hao ndio wanaomchukia huyu kijana.
 
Wanataka kumrudisha nyuma wakati kashafika mbele, mwaka huu lazma wajue kutofautisha msalaba na jumlishaa......
 
Hivi diamond akae za zali siku zote zile afu akose hata mdendeko??????
Wakati nyotaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa hahaha......
Au tulete na ya mkono kupaja?????

hata ningekua mimi nisinge muacha yule dada mtamu eti khaa!
 
Unajua kuna watu wanataka kama mtu hakua na Pesa afu akapata baadae,basi aendelee kuishi maisha yaleyale ya zamani...nonsense

Wao walitaka mpaka leo diamond awe bado anaishi tandale awe bado anadate watoto wa tandale...asiwe nominated hata tuzo za kili achilia zile za MTV na bet.....
Hao ndio wanaomchukia huyu kijana.

haha haa wanataka awe ana vaa masuruali ya mtumba na moka kwenye show ndiowafurahi
 
Napendekeza Diamond afungwe kifungo cha Maisha jela maana anatia presha wenzako mtaani...yaani hawasikiki kabisaaaa....waliishia kutengeneza majungu Fiesta tuuuuuu.....
swali:Je,kwa nini Diamond unatoa nyimbo nzuri kuliko wenzako? kwanini lakini ? adhabu yako ni kufungwe jela maisha kwenye gereza la u-superstar na ubaki humo milele!
 
Back
Top Bottom