Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

naahidi kutoa 30,000 kwako ukitoa at least post moja ya ukweli kuhusu diamond [post moja per day for a week only]!
terms and condition:at least wapenzi watano wa DIAMOND jukwaa hili wathibitishe ni kweli ulichosema

cc: Moderator

cc: Chinga One
 
Last edited by a moderator:

isee umetisha
 
Last edited by a moderator:
afu team chibu hatutaki kuongea saaana kujaza thread,projects zenyewe zinaongea. ni jiwe juu ya jiwe.

umeona eeh hakuna promo huku page zina jaa kwa mapenzi tu ya wadau na sio kuhongana vihela.
 
Dangote anatisha hana mpinzani anajua mashabiki wake wanataka nn!
 
naahidi kutoa 30,000 kwako ukitoa at least post moja ya ukweli kuhusu diamond [post moja per day for a week only]!
terms and condition:at least wapenzi watano wa DIAMOND jukwaa hili wathibitishe ni kweli ulichosema

cc: Moderator

Malawi kuisaidia Japan msaada wa Computer!!
 
Last edited by a moderator:
hatuhitaji motisha kishawishi wala kichocheo ili uzi wetu ukue.tuna wiki mbili tuu lakini tupo vizuri
 
hatuhitaji motisha kishawishi wala kichocheo.tuna wiki mbili tuu lakini tupo vizuri
 
Malawi kuisaidia Japan msaada wa Computer!!

msaada hauangalii kipato we dingi,kwa mantiki hiyo kule kwenu umetoa msaada kwa wale maskinil first year ili upate masifa ha ha ha ume washindisha jamvini kutwa kisa bundle ya buku 20.......i call it "mental slavery".
 
hatuhitaji motisha kishawishi wala kichocheo.tuna wiki mbili tuu lakini tupo vizuri

jamaa ana wafanya wenzake wajinga ana wafanya watumwa wa akili ha ha ha watoto wa mbwa full kukesha jamvini eti kisa buku 20 halafu mwenzao ana kuja huku kwetu kuwa kejeli wale "first year" ni maskini hawana hela ya kumpa yeye Matola we ni japan wale first year wako ni malawi ha ha ha.
 
Hahaha mtaa wa pili kazi wanayo.
 
Last edited by a moderator:
Ukitaka kujua Diamond nyoko angalia alivyoteka hili jukwaa...yani SAA hizi hata topic za Le Mbebez hazihit......!

Halafu bila ofa wala nini Uzi unasogea tu na vya kujadili vipo...hatujadili matusi.......aiiiiiiiiiiii........

kati ya post kumi basi 6 zina muhusu diamond moja kwa moj hii ni dalili ya kua this kid ni icon wa music east africa.
 
msaada hauangalii kipato we dingi,kwa mantiki hiyo kule kwenu umetoa msaada kwa wale maskinil first year ili upate masifa ha ha ha ume washindisha jamvini kutwa kisa bundle ya buku 20.......i call it "mental slavery".

umaskini mbaya kweli,wameshindishwa jamvini kisa buku 20 duh kweli adui yako mwombee njaa.ameanzisha thread bcoz yeye ni mjapani then alijua sudan kusini lazma waje bcoz hawana ujanja
 
Back
Top Bottom