Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

hii style ya kuimba kwa kumumunya maneno ya kilami ya nassib sasa ni too much.....hii ngoma na waje nilitegemea agalagaze ila imekuwa kinyume
 
Diamond hafanyi makosa.!

Namuheshimu kwa vile hakati tamaaa,,

mkimchana leo kwa hili, kesho ana wa thibitishia yuko sahihi.,.,

Aishi . Let Di Live.

He is the LESSON.

He is CONSISTENT.
 
Back
Top Bottom