Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Paula kilaki utauwa watu rudi tu huku heheeeee kule wamemeza omo leoleo hata hamu ya kula hawataipata
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paula kilaki utauwa watu rudi tu huku heheeeee kule wamemeza omo leoleo hata hamu ya kula hawataipata
ha ha ha maneno ya mtoto wa tandale hayoAstaghafirullah.....si ntachana msamba....Aaaah nataka mwenzangu....
leo hata hamu ya kula hawataipata
Yaan paula mchokoz kiamaaaaaa
sasa jamani wimbo kama wa "mwana" unaweza kuwekwa kwenye category ipi kwenye hizo tuzo? au wimbo bora wa kienyeji?
hahahaaa paula ni nomaaa anawavuruga tu
Ha ha ha aah jamani kwa hili namtetea wema ujue ndo kampiga dai msasa hiyo English anayoitumia kupata hizo tuzo za kimataifa
Halaf ukimquote kosaa hakuachiiiii kuna mtu kule anajutaaa
Leo matola kimyaaaaaaa
hahahha we mdada mchokozi sana
View attachment 206718
Huu mziki umekua mgumu sasa, sijui lini nitamfikia Diamond. View attachment 206719
Wako busy kusikiliz nakshi nakshi mrembo.....kuna watu wapo outdated humu duniani.....
hawana lolote kama bado wanasikiliza nakshi mrembo mbona wanasema the return of king,sasa alienda wapi wakati bado nakshi mrembo ipo juu
Anasingizia Escrow etiii hhhhhhaaaa hakosagi sababuu