Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

hadithi hadithi uongo njoo haya nieleze porojoo mi bado mdogoo.. hivi ni juzii ulikuja na barua ulikuwa na baruaa ila sikuifunguaa...

ungesoma ndani, ungejua vingii, vile moyo wangu ulivojawa na vigingii, wewe una mume, nami nna mkee, twaweza iba bado wasishituke
 
vote people, our very own D amefanya kazi kubwa he deserves this
attachment.php
 

Attachments

  • dot govz.jpeg
    dot govz.jpeg
    65 KB · Views: 491
ungesoma ndani, ungejua vingii, vile moyo wangu ulivojawa na vigingii, wewe una mume, nami nna mkee, twaweza iba bado wasishituke

looh! kumbe muhuniii iiii, aku siwezi kushea penzi naweee kasoro yangu niniii iiii si Una mke yule amekosa niniii....
 
[h=1]
Diamond Platnumz Live Performance | Amahoro Stadium (Rwanda) 1/1/2015
[/h]

 
Last edited by a moderator:
Jamani mwenye ile video ya yule Mdada wa ITV aliesema timu ya diamond platnumz fc, naiomba aweke humu me nashindwa ipandisha.
 
Huyu jamaa acha aishi kwa raha ukiangalia hata aliko toka na alipo kweli mchumia juani hulia kivulini kwa anavyo hit sahizi naamini hapa kila shoo ni milion 20 so kwa mwezi anaingiza milioni 100 hizo ni shoo tu!

Zingine tafuta unazo zijua wewe alafu check kwa mwezi ana misimbazi mingapi wakati wasanii wanao shindana na yeye unakuta miezi kadhaa haja piga shoo akipiga ana piga ya laki 7 au milion 1 afu anakuja anataka alete jeuri kwa Diamond.

Msichana wake mwenyewe ana pesa hatangazi shida wewe una watoto mia sijui da demu wako nae dhiki nyingi sijui utaendeleaje utaishia kutengeneza video za 200/= zikauze soko la K/koo

Ukibisha njoo na fact huna pita hivi zile #team zote zinazo shindana na diamond! Hongera sana diamond tuwakilishe vyema kaka sio wengi hata ulie fanya nae kazi ya one ten sijui one seven sijui one eight asha kusahau kama alifanya kazi na wewe nasikia siku hizi akiulizwa msanii gani Tanzania anamfahamu anasema ni Diamond hata wewe amekusahau.
 

Attachments

  • 1428782476703.jpg
    1428782476703.jpg
    23.6 KB · Views: 893
Kwa mbaaali namwona janja janja Salaam, meneja bora kabisa wa kimataifa kuwahi kutokea Tanzania.
 
Back
Top Bottom