Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

Jamani eeeeeeh hivi mmepata news za nomination nyingine ya Chibu kutoka Naija???

Category 2, favourite artist na favourite song(nana)

http://www.africannafca.com/vote.aspx

Binafsi nilisha vote kabisa Mkuu
 
African NAFCA vote here the good thing is deadline ni July 31 and hadi Sasa anaongoza on both categories. Tanzania let's vote for this one.
 
Jamani eeeeeeh hivi mmepata news za nomination nyingine ya Chibu kutoka Naija???

Category 2, favourite artist na favourite song(nana)

African NAFCA

aksante nilipiga jana nilionea link instagram

za Afrimma hizo ndio napiga kila kipengele hadi waniambie nisubiri tena, nadhani ni mara 20 au 25 then unarudi baadae ukipewa ka message.
 
kwenye kupiga kura afrimma awards

ukisha bonyeza vote ukapata ujumbe wa kukushukuru,

chini yake bonyeza RETURN TO POLL kuendelea kupiga kura hadi uambiwe basi. kisha nenda kwenye kipengele kingine fanya hivyo tu bila kuchoka wote tupo pamoja kufurahia tuzo hizi zikija tusherekee vizuri kwa furaha kubwa mioyoni mwetu.

kumbuka uki vote na kuvote hamia kipengele kingine, ususahau kurudia kupiga tena kura baada ya muda vipengele vyote tena.
 
Pamojaaa!!!ushindi jadi yetu
 
Attachments

  • 1438452867683.jpg
    1438452867683.jpg
    16 KB · Views: 109
Diamond ametangazwa kama mshindi wa tuzo mbili alizokuwa anawania za NAFCA (Nollywood and African people's choice awards) kwa kupigiwa kura. Tafrija kufanyika September nchini Nigeria.
 
Nilikuwa naangalia aljazeera leo asubuhi, katika kipindi cha innovate africa walikuwa wanaongelea music piracy na ujio wa app ya mzikii.Lakini kipindi kimeishia kumwonyesha Diamond akiwa studio na kupiga nyimbo zake pamoja nanikifanyiwa interview.

Kijana inaonekana is doing great aisee

Mwenyezi mungu amzidishie na walokua hawana mwenyezi mungu awape na wazidi kua na moyo wa subra...
 
Back
Top Bottom