cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
Whatever he is doing,it is working.Vipi fans wa diamond? Shemej/wifi yenu kamshindwa kaka yenu, ndo kiki yao nyingine hii?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Whatever he is doing,it is working.Vipi fans wa diamond? Shemej/wifi yenu kamshindwa kaka yenu, ndo kiki yao nyingine hii?
Jamaa anaanza ku trend kwa mapenzi kuliko mziki. Ni dalili za anguko
Asee almost 3years now dooh,na bado chibu ana run the show....Huu uzi upo kumbe??? Dah maisha yanaenda kasi saana
[emoji23][emoji23][emoji23]Njia ya kuepuka kusikia habari za DIAMOND ni kukubali ukafungwe jela....ila huko napo maskia wana tv siku hizi.
jifunze kuandika kwanzaNipo chini ya raba yake naomba asiachane na wema....ni hilo tu!!!
Wapi hapo nilipokosea kuandika?jifunze kuandika kwanza
Washamba siyo waliopo shamba tu, hata mjini wapo kibao.Wapi hapo nilipokosea kuandika?
Na ajifunze sio kila kinachoandikwa humu basi ni serious....Washamba siyo waliopo shamba tu, hata mjini wapo kibao.
Mwambie huyo mlugaluga ajifunze kusoma kwanza.
Sio wasiachane, ndomo kashaachwa ndo maana anatapa tapa kujipendekeza kwa zari ili aonekane na yeye anaweza kutoka na mademu wakali, wakati ndomo kwa zari hafai hata kuwa kijakazi wake, yule demu ni next level, ana Elimu na utajir wa kutosha ndomo vyote hana , sasa unategemea nn kama sio kufanywa golikipa? Na bado ndomo mwaka huu atahangaika sana ata akipiga picha na lupita mama ubaya hamtaki tena atajiju
Hater!Diamond kuna tour alilazimisha alipiwe ticket family nzima