Lala fofofoooo huna madhara hata usipoenda show yake... again lala fofofo!Huo wimbo ni mbaya sana na wa kupotosha! Sielewi kwa nini unachezwa Kenya.I can't attend his show. I'd rather sleep the whole day/night
Atafungiwa kufanya shughuli za sanaa kwa kwa maisha yake yote ndani ya Tanzania.Afungwe kifungo cha maisha kisa ametumbuiza nje ya Tanzania, hivi hiyo nchi yenu imeingiwa na nini hebu tuweke utani pembeni.
Mnaendesha nchi kwa hasira na visasi.
Hiyo inaleta mantiki yaani kwamba waichukue paspoti yake, japo Basata wamesema 'jail for life'/Atafungiwa kufanya shughuli za sanaa kwa kwa maisha yake yote ndani ya Tanzania.
Vinginevyo atanyimwa document zinakazo msaidia kwenda kufanya show nje.
I think wana maana hiyo na sio kifungo cha maisha jela(prison).
[emoji3] [emoji16] [emoji3046] [emoji270]Solution ni moja tu. Kenya ipee Diamond citizenship. Ndio hawa Watanzania washike adabu. Diamond asipochunga atakuwa jobless. Diamond hataweza kunukisha kitunguu kwa nyumba yake.
Zitto aliyaona mapema."Nchi imekabidhiwa kwa washamba" Zitto Kabwe
Kwani unalazimishwa kukaa?? Si uende kuishi unakotaka. Sheria za nchi lazima zifuatwe.Li nchi hili sijui limekuwaje? Hadi hamu ya kuishi unakosa.
Labda kiingereza kimewasumbua.Hiyo inaleta mantiki yaani kwamba waichukue paspoti yake, japo Basata wamesema 'jail for life'/
Labda kiingereza kimewasumbua.
Hakuna sheria kama hiyo kwa kosa kama hilo huku TZ katika sheria za makosa ya jinai(criminal case).
Yani umfunge jail kifungo cha maisha msanii aliedharau agizo la baraza la sanaa huku jambazi alietumia silaha umfunge chini ya miaka 30?
Tumepatwa!Total eclipse, kiza kinene.Halafu sheria zenu huwa sizielewi, nimeona sehemu rais ameagiza polisi wawaue majambazi, na kila anayeua atapandishwa cheo na kuongezwa mshahara.
Nahisi kama mapolisi yatawalenga shaba raia wa kawaida ili wapandishwe vyeo, maana ni agizo kutoka kwa taasisi ya urais.
Ha ha haaHalafu sheria zenu huwa sizielewi, nimeona sehemu rais ameagiza polisi wawaue majambazi, na kila anayeua atapandishwa cheo na kuongezwa mshahara.
Nahisi kama mapolisi yatawalenga shaba raia wa kawaida ili wapandishwe vyeo, maana ni agizo kutoka kwa taasisi ya urais.
Ni mbaya Kwa kutumia sikio la Nani? What is a bad song, maadili yapi? Yameorodheshwa wapi ili watu wote wayasome? Watu wanatembea uchi mitaani matiti, mapaja na mataako nje, wazungu wanaogomea na vichupi kwenye fukwe, maadili yapi yanayolindwa? Hatuko kisiwani, Wivu kitu kibaya,Huo wimbo ni mbaya sana na wa kupotosha! Sielewi kwa nini unachezwa Kenya.I can't attend his show. I'd rather sleep the whole day/night
The moment diamond platnumz become a kenyan citizen ..he will no longer be a citzen of tanzania ...and you know what the laws of Tanzania does not alow non citizen to own land.and the guy has invested alot on houses...plus he has alot of fans in Tz than in kenya...tukipaki na King kiba atapotea amuulize ...Husen machozIf he applies for Kenya citizenship I see him getting approved instantly!.
Baraza la sanaa Tanzania pamaoja na serikali wanafaa kusaidia vijana kama Diamond na wengine kuimarika Africa nzima. Sielewi why they cannot assist guys like Diamond wawe bingwa wa Africa katika muziki.
Lazima afuate sheria & taratibu za nchi, anaimba sana matusiAfungwe kifungo cha maisha kisa ametumbuiza nje ya Tanzania, hivi hiyo nchi yenu imeingiwa na nini hebu tuweke utani pembeni.
Mnaendesha nchi kwa hasira na visasi.
naona wengi mko misinformedAfungwe kifungo cha maisha kisa ametumbuiza nje ya Tanzania, hivi hiyo nchi yenu imeingiwa na nini hebu tuweke utani pembeni.
Mnaendesha nchi kwa hasira na visasi.
Hii ni jambo la ujinga na aibu. This is like trying to kill a fly using a hammer or bazooka 😂.Kwani unalazimishwa kukaa?? Si uende kuishi unakotaka. Sheria za nchi lazima zifuatwe.