Diamond Platinumz free to perform in Kenya, say Kenya Film and CopyRights Boards Boss

Diamond Platinumz free to perform in Kenya, say Kenya Film and CopyRights Boards Boss

Afungwe kifungo cha maisha kisa ametumbuiza nje ya Tanzania, hivi hiyo nchi yenu imeingiwa na nini hebu tuweke utani pembeni.
Mnaendesha nchi kwa hasira na visasi.
Atafungiwa kufanya shughuli za sanaa kwa kwa maisha yake yote ndani ya Tanzania.
Vinginevyo atanyimwa document zinakazo msaidia kwenda kufanya show nje.
I think wana maana hiyo na sio kifungo cha maisha jela(prison).
 
Dogo ana dharau sana anafungiwa kwa muda tu kumdisplin
 
Atafungiwa kufanya shughuli za sanaa kwa kwa maisha yake yote ndani ya Tanzania.
Vinginevyo atanyimwa document zinakazo msaidia kwenda kufanya show nje.
I think wana maana hiyo na sio kifungo cha maisha jela(prison).
Hiyo inaleta mantiki yaani kwamba waichukue paspoti yake, japo Basata wamesema 'jail for life'/
 
Solution ni moja tu. Kenya ipee Diamond citizenship. Ndio hawa Watanzania washike adabu. Diamond asipochunga atakuwa jobless. Diamond hataweza kunukisha kitunguu kwa nyumba yake.
[emoji3] [emoji16] [emoji3046] [emoji270]
 
Jamaa naona kaona Basata sasa wameamua kumuonesha Jeuri... Kaona aache Kiburii!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Usishindane na Serikali aisee achaa kabisaa huo mchezoo... Unaweza Fungiwa hata kufaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hiyo inaleta mantiki yaani kwamba waichukue paspoti yake, japo Basata wamesema 'jail for life'/
Labda kiingereza kimewasumbua.
Hakuna sheria kama hiyo kwa kosa kama hilo huku TZ katika sheria za makosa ya jinai(criminal case).

Yani umfunge jail kifungo cha maisha msanii aliedharau agizo la baraza la sanaa huku jambazi alietumia silaha umfunge chini ya miaka 30?
 
Halafu sheria zenu huwa sizielewi, nimeona sehemu rais ameagiza polisi wawaue majambazi, na kila anayeua atapandishwa cheo na kuongezwa mshahara.
Nahisi kama mapolisi yatawalenga shaba raia wa kawaida ili wapandishwe vyeo, maana ni agizo kutoka kwa taasisi ya urais.
 
Tumepatwa!Total eclipse, kiza kinene.
 
Halafu sheria zenu huwa sizielewi, nimeona sehemu rais ameagiza polisi wawaue majambazi, na kila anayeua atapandishwa cheo na kuongezwa mshahara.
Nahisi kama mapolisi yatawalenga shaba raia wa kawaida ili wapandishwe vyeo, maana ni agizo kutoka kwa taasisi ya urais.
Ha ha haa
There is no such thing..
Labda kasema kiujanja ujanja not in a direct way. Hiyo itakuwa extra judicial killings.

Unafikiri haogopi kufikishwa The Hague?

But the truth is ujambazi wa kutumia silaha umepungua sana baada ya kusema "si na ninyi [askari] muwa nyang'anye silaha [majambazi] papo hapo?".

Sasa jambazi gani atakubali anyang'nywe silaha yake akiwa katikati ya tukio la uhalifu?
Maana yake hapo lazima askari wawazimishe majambazi ndipo wachukue silaha.
 
Huo wimbo ni mbaya sana na wa kupotosha! Sielewi kwa nini unachezwa Kenya.I can't attend his show. I'd rather sleep the whole day/night
Ni mbaya Kwa kutumia sikio la Nani? What is a bad song, maadili yapi? Yameorodheshwa wapi ili watu wote wayasome? Watu wanatembea uchi mitaani matiti, mapaja na mataako nje, wazungu wanaogomea na vichupi kwenye fukwe, maadili yapi yanayolindwa? Hatuko kisiwani, Wivu kitu kibaya,
 
If he applies for Kenya citizenship I see him getting approved instantly!.
Baraza la sanaa Tanzania pamaoja na serikali wanafaa kusaidia vijana kama Diamond na wengine kuimarika Africa nzima. Sielewi why they cannot assist guys like Diamond wawe bingwa wa Africa katika muziki.
The moment diamond platnumz become a kenyan citizen ..he will no longer be a citzen of tanzania ...and you know what the laws of Tanzania does not alow non citizen to own land.and the guy has invested alot on houses...plus he has alot of fans in Tz than in kenya...tukipaki na King kiba atapotea amuulize ...Husen machoz
 
Afungwe kifungo cha maisha kisa ametumbuiza nje ya Tanzania, hivi hiyo nchi yenu imeingiwa na nini hebu tuweke utani pembeni.
Mnaendesha nchi kwa hasira na visasi.
Lazima afuate sheria & taratibu za nchi, anaimba sana matusi
 
Afungwe kifungo cha maisha kisa ametumbuiza nje ya Tanzania, hivi hiyo nchi yenu imeingiwa na nini hebu tuweke utani pembeni.
Mnaendesha nchi kwa hasira na visasi.
naona wengi mko misinformed
ok iko hivi
domo kafungiwa kufanya shughuli za muziki ndani ya nchi na" nje ya nchi 🔙 hapo ndipo ukakasi ulipo!!
hakuna mtu au basata wamesema watamfunga jela.

na alifungiwa sabab ali perform wimbo uliokua umefungiwa na mamlaka pia alifanya show mwanza wakati hakua na kibali cha festival
haya waambie na wenzio na hao waandishi wenu mapopompo
 
Kwani unalazimishwa kukaa?? Si uende kuishi unakotaka. Sheria za nchi lazima zifuatwe.
Hii ni jambo la ujinga na aibu. This is like trying to kill a fly using a hammer or bazooka 😂.

Hii serikali yenu ni comedy of errors.
Leo ni Vita Na wasanii, jana ilikuwa vita na mabalozi, juzi billionaire flani alipata tabu,..hamjiulizi Kesho itakuwa nani?

Wacha msanii aigize, hiyo ndio talanta yake, kazi yake, sanaa yake.
 
Back
Top Bottom