Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Ila hata iweje Mondi hawezi kufurukuta kwa Burna na Wiz, kua nominee ni jambo kubwa sana lakini kuchukua tuzo ni ngumu.

Hao wanasiasa waache ujinga mbona kwenye maandamano ya Mange hawakutoka kuandamana?
 
They can go to hell!
 
Hakuna cha doa. Mnalazimisha chuki zenu kwa Magufuli ziwe chuki kwa kila mtu. Nyie kama mliguswa mjitafakari mlikosea wapi. Msilazimishe Diamond awe mtetezi wa uovu wenu.
 
Kwanza wanachelewa kumtoa, msieeew zake huyo domokaya. Lol
 
Kwenye hili Vanessa Mdee ame win pakubwa, hanaga mambo ya siasa yule.
 
Daimond akishindwa, watachekelea sana sana wapinzani wake. Hasa kwenye mziki na chadema
 
Mkuu unaona siasa ni kitu kidogo sana?
 
Walopata majeraha Hata 2% ya watanzania hawajafika hapana impact kabisa
 
Nimelala , ila baada ya kukosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…