Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Ila baada ya ili kupita, Diamond atakuwa na lakujifunza labda, japo kweli haileti picha nzuri.
Lakini mzee mwenzang sidhan kama wote tunapaswa kuwa wanaharakati..nadhan diamond ni kati ya wale watu waoga...hata utokee mgomo yeye anajificha hatak kuparticipate .wawaache wenye guts zao.

Mfano mimi hata nione kwa Tv maandamano ya migomo wa aina yyt ile huwa nashiriki kwa nafsi aise!
Wengine hawawezi...tusimhukumu sana...mbona wasanii kibao enzi za mwendazakenwalifyataga mikia? Sio wasanii tu...kina HK,MADELU etc ndo walianza kuongea alipotwaliwa Jozee! Kwann na wenyewe wasingepaza sauti? Its not fair at all aise!totally wrong!
 
Lakini mzee mwenzang sidhan kama wote tunapaswa kuwa wanaharakati..nadhan diamond ni kati ya wale watu waoga...hata utokee mgomo yeye anajificha hatak kuparticipate .wawaache wenye guts zao

Hili jambo lipo kishabiki sana mkuu.
 
Niliwadharau sana sana eti Daimond anawatendei haki mashoga wa Tanzania.......
 
Lakini mzee mwenzang sidhan kama wote tunapaswa kuwa wanaharakati..nadhan diamond ni kati ya wale watu waoga...hata utokee mgomo yeye anajificha hatak kuparticipate .wawaache wenye guts zao
Mfano mimi hata nione kwa Tv maandamano ya migomo wa aina yyt ile huwa nashiriki kwa nafsi aise!
Wengine hawawezi...tusimhukumu sana...mbona wasanii kibao enzi za mwendazakenwalifyataga mikia? Sio wasanii tu...kina HK,MADELU etc ndo walianza kuongea alipotwaliwa Jozee! Kwann na wenyewe wasingepaza sauti? Its not fair at all aise!totally wrong!
Nikweli kabisa
 
Yeah, kama wewe
Ngojea nikupe elimu japo umenitukana kuna tofauti Kati kuwa na tabia ya kike na kuwa shoga, shoga anaweza kuwa na tabia ya kike lakini si kila anakuwa na tabia ya kike ni shoga.Shoga maana yake ni mwanaume anaye shiriki sex na jinsia ya kiume
 
Sijakutukana ila nimekupa mfano wake kama ulivyodefine hapo juu. Hivi kosa langu ni nini?
 
Kumwita mwenzake shoga bila ushahidi eti kisa tu anatabia ya kike ndio maana nimekufafanulia hapo juu
 
Back
Top Bottom