Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Msichokielewa hao chadema wanajua kabisa mondi ana nguvu ya ushawishi, akiendelea kuwa juu mpaka 2025 itakua ngumu kwao kushinda uchaguzi, yatawatokea ya mwaka jana kupata chini ya 20%...
Alosema last yr uchaguzi tulipata chini ya 20% nani?
 
Mimi sikuwa shabiki wake ila alipomkana yule Mzee baba yake,huku anatoa zawadi za magari kwa watu hata wasio ndugu zake,nilimchukia haswaa.Tunasaini wapi petition nami nisaini?
Nami kwa hili nimaomba hiyo link ya petition niingie nifanye jambo.
 
Diamond akipita kwenye hii atakua shujaa wa bongo, lakini akifeli itakua funzo kwa celebrities wengne "watakemea" maovu kwenye jamii kama davido, wizkid, teni, n.k (unakumbuka END SARS)
nina uhakika hapa mond anachomoka tena vizuri tu, na hili sakata halijamkalia vibaya yeye ndo maana kalikalia kimya, linambrand zaidi kuliko kumharibia... lile la juliana shonja uliona alivowaka?

sababu lilikuwa linamharibia kuliko kumjenga... narudia tena "ogopa mtu mkimya hata km unamharibia kivip"... mond kaona potentiality katika hili na ni kubwa mno, sahv watu tushamsahau kabisa mmakonde, kila kona anatrend yeye tu
 
Tunakupinga sio kwa kuwa wew ni mwana CCM tunaupinga Mtazamo wako wa kusifia Ukatili na Mauaji kwa raia wenzako wa Tanganyika. Suala la kujali UTU halina chama ni la kila mtu na ndio maana Leo Sabaya yupo ktk mikono salama .

Kuna wajinga wachache wanassema eti Diamond anayo haki ya kuto tunga nyimbo zenye mlengo wa kisiasa.

Yaani Diamond awe na uhuru wa kutunga nyimbo zinazo sifia Pombe, Ngono na Madikteta wanao ua raia wema wanao muunga mkono asiweze kuguswa na madhira wanayo wapata.

Nyerere alisema tuliwapinga Makaburu wa Africa kusini sio kwa kuwa walikuwa weupe bali ni Matendo yao ya Kinyama dhidi ya Binadamu. Na akasema hata kama wew ni Mweusi au Mtanzania mwenzetu unafanya au kuunga mkono Matendo ya Aina hiyo utakuwa ni Kaburu tuu na tutakupinga.

Katiba yetu inasema jukumu la Ulinzi na Usalama wa watu na Mali zao ni la kila mtu. Diamond aliweza kuwatumia Salamu za pole na kuwaeleza ameguswa na tukio la porisi kuua Raia Nigeria lakini hakuweza kulaani Mateso na Mauaji nchini mwake .
 
Tuoneshe ni wapi Mondi alisifia ukatili?

Umasikini, roho mbaya, wivu na uvivu vinaenda pamoja.

Ukiwa na tabia hizi lazima uwachukie waliokuzidi!

Watz wengi wanawachukia matajiri wakiamini umasikini wao unasababishwa na matajiri.
 
IMG_20210607_170059.jpg

BET wametupia tena huko , kama kawa mwana support yake inakimbiza , haters ongezeni juhudi ....WATAJUAJEEEEEEEE....tukutane 3:30 mida ya wanga
 
Tunakupinga sio kwa kuwa wew ni mwana CCM tunaupinga Mtazamo wako wa kusifia Ukatili na Mauaji kwa raia wenzako wa Tanganyika. Suala la kujali UTU halina chama ni la kila mtu na ndio maana Leo Sabaya yupo ktk mikono salama .

Kuna wajinga wachache wanassema eti Diamond anayo haki ya kuto tunga nyimbo zenye mlengo wa kisiasa.

Yaani Diamond awe na uhuru wa kutunga nyimbo zinazo sifia Pombe, Ngono na Madikteta wanao ua raia wema wanao muunga mkono asiweze kuguswa na madhira wanayo wapata.

Nyerere alisema tuliwapinga Makaburu wa Africa kusini sio kwa kuwa walikuwa weupe bali ni Matendo yao ya Kinyama dhidi ya Binadamu. Na akasema hata kama wew ni Mweusi au Mtanzania mwenzetu unafanya au kuunga mkono Matendo ya Aina hiyo utakuwa ni Kaburu tuu na tutakupinga.

Katiba yetu inasema jukumu la Ulinzi na Usalama wa watu na Mali zao ni la kila mtu. Diamond aliweza kuwatumia Salamu za pole na kuwaeleza ameguswa na tukio la porisi kuua Raia Nigeria lakini hakuweza kulaani Mateso na Mauaji nchini mwake .
Watampigia kura wana ccm wenzake lkn asijidanganye kuwa atapata kura kutoka kwa wa Tanzania woote kisa analiwakilisha taifa.
 
Tuoneshe ni wapi Mondi alisifia ukatili?

Umasikini, roho mbaya, wivu na uvivu vinaenda pamoja.

Ukiwa na tabia hizi lazima uwachukie waliokuzidi!

Watz wengi wanawachukia matajiri wakiamini umasikini wao unasababishwa na matajiri.
Hata ukionyeshwa utabisha tu kwa kuwa umeshajiprogram hivyo ulivyo!

Kwanza aliamua kukaa kimyaa. Akatangaza kukaa kimyaa. Kisha akaanza kisifu. Mila mtu anajua haya.
 
Tuoneshe ni wapi Mondi alisifia ukatili?

Umasikini, roho mbaya, wivu na uvivu vinaenda pamoja.

Ukiwa na tabia hizi lazima uwachukie waliokuzidi!

Watz wengi wanawachukia matajiri wakiamini umasikini wao unasababishwa na matajiri.
Aliyasifia hayo yoote na alikuwa ni mshirika wa watesaji
Screenshot_20210605-212452.jpg
 
Back
Top Bottom