Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Diamond Platinumz huenda akatolewa kwenye mchakato tuzo za BET

Nyinyi mlilaani kwa I'd fake, alafu yeye mlitaka ajitokeze hadharani? Kwenye yale maandamano yaliyoitishwa na viongozi wenu mlijitokeza?
Ndio maana nikasema ni bora angekaa kimya kuliko kuanza kuimba mapambio kwa waovu.
 
Option iliyokuwa bora kwa diamond ilikuwa ni kukaa kimya sasa ye akaona haitoshi kuwa kada kawaida akaanza na kuwatungia wimbo watawala waovu wanaoumiza wananchi.
Kwanini kama mna influence kubwa msimsaport kwa nguvu msanii wenu Roma au Ney ili wawe nominated huko BET?
 
Option iliyokuwa bora kwa diamond ilikuwa ni kukaa kimya sasa ye akaona haitoshi kuwa kada kawaida akaanza na kuwatungia wimbo watawala waovu wanaoumiza wananchi.
Mbona CCM hawajaanzisha kampeni uchwara kumpinga ROMA anaeikandia CCM kila siku?

Mpigieni basi Roma ashinde hiyo tuzo ya BET,maana hajawahi kuwaangusha.
 
Hatukumpangia atukuze uovu wa magufuli , yale yalikuwa maamuzi yake binafsi bila kulazimishwa na mtu na hii backfire anayoipata ni matokeo ya uamuzi alioufanya bila kulazimishwa.
Maovu yapi ya Magufuli aliyoyatukuza?

Hebu yaainishe hapa na kwa vipi aliyatukuza?
 
Kwenye hili namuona diamond akiibuka mshindi.! ogopa sana mtu ambaye hakujibu hata kama unamharibu kiasi gani! kwa kimombo tunasema "ogopa sana mtu mkimya hata kama anaonewa"
 
kwenye hili namuona diamond akiibuka mshindi.! ogopa sana mtu ambaye hakujibu hata kama unamharibu kiasi gani! kwa kimombo tunasema "ogopa sana mtu mkimya hata kama anaonewa"
Diamond akipita kwenye hii atakua shujaa wa bongo,
Lakini akifeli itakua funzo kwa celebrities wengne "watakemea" maovu kwenye jamii kama davido, wizkid, teni, n.k (unakumbuka END SARS)
 
Back
Top Bottom