Lakini mzee mwenzang sidhan kama wote tunapaswa kuwa wanaharakati..nadhan diamond ni kati ya wale watu waoga...hata utokee mgomo yeye anajificha hatak kuparticipate .wawaache wenye guts zao
Mfano mimi hata nione kwa Tv maandamano ya migomo wa aina yyt ile huwa nashiriki kwa nafsi aise!
Wengine hawawezi...tusimhukumu sana...mbona wasanii kibao enzi za mwendazakenwalifyataga mikia? Sio wasanii tu...kina HK,MADELU etc ndo walianza kuongea alipotwaliwa Jozee! Kwann na wenyewe wasingepaza sauti? Its not fair at all aise!totally wrong!