Diamond Platinumz kuvaa rozali, amebadili dini au uislam unaruhusu?

Diamond Platinumz kuvaa rozali, amebadili dini au uislam unaruhusu?

Nas muislam nishamuona mara kibao kavaa msalaba, ila huku kwetu mhhhh.....
 
Wewe umekuwa Mungu.. Ila dini unawavuruga Waafrika
 
Diamonds platinum naona siku hizi haeleweki eleweki sijui kichwani mwake kina nini.

Nikimuangalia Zuchu hata mimi bure simtaki Lakini hata girlfriend wangu akisikia nime mcheat na Tanasha lazima anipe 👋
Ishiwa nguvu za kiume usiishiwe pesa
 
Huyo ni msanii na mfanyabiashara Mkuu, kadri anavyozungumziwa ndiyo anazidi kuingiza pesa.


Unakumbuka ishu ya yeye kusoma Biblia kwenye lile tamasha lake la Mkesha wa Pasaka?

Mwaka 2009 wakati anatoa wimbo wa "nenda kamwambie" akaunti yake ilikuwa inasoma maybe 750,000 leo hii akaunti yake inasoma 19,659,064,550

Akili ndugu yangu, akili 🙌

hivi tunanvyomzungumza hapa yeye anaingiza nini? acheni kukariri
 
Haya ndugu yetu yupo Mwanza huko anapiga shoo muda huu, ila nashangaa amevaa rozali... masharti ua chama yanampeleka vibaya huyu mtu au ni kuwa kachagua njia ambayo anaona ni sahihi kwake?
Picha tuone rozali yenyewe
 
Back
Top Bottom