Diamond Platinumz kuvaa rozali, amebadili dini au uislam unaruhusu?

Nas muislam nishamuona mara kibao kavaa msalaba, ila huku kwetu mhhhh.....
 
Wewe umekuwa Mungu.. Ila dini unawavuruga Waafrika
 
Diamonds platinum naona siku hizi haeleweki eleweki sijui kichwani mwake kina nini.

Nikimuangalia Zuchu hata mimi bure simtaki Lakini hata girlfriend wangu akisikia nime mcheat na Tanasha lazima anipe 👋
Ishiwa nguvu za kiume usiishiwe pesa
 

hivi tunanvyomzungumza hapa yeye anaingiza nini? acheni kukariri
 
Haya ndugu yetu yupo Mwanza huko anapiga shoo muda huu, ila nashangaa amevaa rozali... masharti ua chama yanampeleka vibaya huyu mtu au ni kuwa kachagua njia ambayo anaona ni sahihi kwake?
Picha tuone rozali yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…