Diamond Platinumz kuzindua marashi yake ya Chibu

Diamond Platinumz kuzindua marashi yake ya Chibu

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
Wakati tukiendelea na stori za views kununuliwa, kijana wetu asiyechoka kusaka pesa anakuletea kitu kipya, kitu maridadi, CHIBU PERFUME [HASHTAG]#THESCENTYOUDESEVE[/HASHTAG].
tmp_4577-_20161116_220759-1011876052.JPG


 
....Asidanganywe na hao jamaa zake (Freemasons) kauli ya kudai ni muda mchache tu umebaki (yeye kama Chibu) kuizamisha sayari ya DUNIA ndani ya CHUPA......Huko ni kumkufuru MOLA......alijaribu kuigiza msemo wa kwamba, DUNIA KWA SASA IKO KATIKA KIGANJA.....hizo si kauli za kumtukuza na kumshukuru MOLA.......Wamepita MANGULI wangapi na hawakuwa na KIBRI ama KEBEHI juu ya MAMLAKA ya MUNGU....!!?


Punguza dharau Chibu usidanganywe na WATU, hii Dunia sio yako ama ya Baba/Mama....

Umeikuta na utaiacha na kamwe huwezi kiweka ndani ya CHUPA..

Jaribu kuuzamisha MOYO wako tu kwanza.
 
huyu biashara ndio kipaji chake huku kwenye muziki alikuwa anatupigia kelele tu kwa kulazimisha fani.
 
Back
Top Bottom