Diamond Platinumz kuzindua marashi yake ya Chibu

Iv zile earphone zake vp aka chibu beat???
Kama ni kweli hongera kwake.
 
huyu biashara ndio kipaji chake huku kwenye muziki alikuwa anatupigia kelele tu kwa kulazimisha fani.
Yes biashara ndio kipaji chake ndio maana kawa mwanamuziki pekee Tanzania aliyepata mafanikio makubwa katika biashara ya muziki. Kama ulikuwa hujui basi fahamu kuanzia sasa kuwa muziki nao ni biashara. Halafu haya mambo ya perfumes si pekee aliyefanya, kimataifa wapo akina Jay Z, Beyonce, Michael Jackson, David Beckham, Britney Spears, Justin Beiber, Usher, Bruce Willis, Rihanna na wengineo
 
....Asidanganywe na hao jamaa zake (Freemasons) kauli ya kudai ni muda mchache tu umebaki (yeye kama Chibu) kuizamisha sayari ya DUNIA ndani ya CHUPA......Huko ni kumkufuru MOLA......alijaribu kuigiza msemo wa kwamba, DUNIA KWA SASA IKO KATIKA KIGANJA.....hizo si kauli za kumtukuza na kumshukuru MOLA.......Wamepita MANGULI wangapi na hawakuwa na KIBRI ama KEBEHI juu ya MAMLAKA ya MUNGU....!!?

Punguza dharau Chibu usidanganywe na WATU, hii Dunia sio yako ama ya Baba/Mama....

Umeikuta na utaiacha na kamwe huwezi kiweka ndani ya CHUPA..

Jaribu kuuzamisha MOYO wako tu kwanza.
hueleweki unasimamia wapi.... sioni tatizo kwenye hiyo brand yake
 
Yes biashara ndio kipaji chake ndio maana kawa mwanamuziki pekee Tanzania aliyepata mafanikio makubwa katika biashara ya muziki. Kama ulikuwa hujui basi fahamu kuanzia sasa kuwa muziki nao ni biashara. Halafu haya mambo ya perfumes si pekee aliyefanya, kimataifa wapo akina Jay Z, Beyonce, Michael Jackson, David Beckham, Britney Spears, Justin Beiber, Usher, Bruce Willis, Rihanna na wengineo
Umemsahau Nguli Christiano Ronaldo
Ana hadi mablanket
 
....Asidanganywe na hao jamaa zake (Freemasons) kauli ya kudai ni muda mchache tu umebaki (yeye kama Chibu) kuizamisha sayari ya DUNIA ndani ya CHUPA......Huko ni kumkufuru MOLA......alijaribu kuigiza msemo wa kwamba, DUNIA KWA SASA IKO KATIKA KIGANJA.....hizo si kauli za kumtukuza na kumshukuru MOLA.......Wamepita MANGULI wangapi na hawakuwa na KIBRI ama KEBEHI juu ya MAMLAKA ya MUNGU....!!?

Punguza dharau Chibu usidanganywe na WATU, hii Dunia sio yako ama ya Baba/Mama....

Umeikuta na utaiacha na kamwe huwezi kiweka ndani ya CHUPA..

Jaribu kuuzamisha MOYO wako tu kwanza.
Misemo Ya Kimaskin
 
Sawa Ali Kiba tumekuckia
 
Ni mwendo wa viparaaaaa rraaaa kunukia tuuuu hongera chibudeeee mzee wa ku unlock codes watakuiga tu tuwape mda saivi naskia nao wanauza kofia kenya omy msambwanda nae kwenye video yake kavaa ki nigeria kama wewe kwenye salome lazima wakugezeee we sindo kik zao hapa mjini achatunukie uturiiiiiiii wa chibudeeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom