Diamond Platinumz kuzindua marashi yake ya Chibu

Chibu noumer. Naweka hela kny kibubu ninunue ata km itakua inanuka km gogo.
 
Bora amekigundua kipaji chake halisi, hzo ndo shughuli zake muziki alivamia ili apate mtaji, sasa awaachie wenye muziki wao waendelee kutuburudisha.....
Washabiki wa Alli Kiba mna visa!! Ila Ukweli utabakia pale pale kua CHIBU is in another level, the lever where KIBA can't reach.
 
Hii kitu imehit sana Instagram, ukicheki tu views za watu kwenye hii post utapata picha ni kiasi gani watu wameikubali hii idea ya Diamond. (Wale haters manaruhusiwa pia kusema hizi views ni fake, zimenunuliwa)
Screenshot_20161117-132346.png
 
....Asidanganywe na hao jamaa zake (Freemasons) kauli ya kudai ni muda mchache tu umebaki (yeye kama Chibu) kuizamisha sayari ya DUNIA ndani ya CHUPA......Huko ni kumkufuru MOLA......alijaribu kuigiza msemo wa kwamba, DUNIA KWA SASA IKO KATIKA KIGANJA.....hizo si kauli za kumtukuza na kumshukuru MOLA.......Wamepita MANGULI wangapi na hawakuwa na KIBRI ama KEBEHI juu ya MAMLAKA ya MUNGU....!!?

Punguza dharau Chibu usidanganywe na WATU, hii Dunia sio yako ama ya Baba/Mama....

Umeikuta na utaiacha na kamwe huwezi kiweka ndani ya CHUPA..

Jaribu kuuzamisha MOYO wako tu kwanza.

Nahisi mkuu umeelewa sana,hata hiyo bidhaa ikinunuliwa linafunguliwa hilo box na hayo maneno yatabaki nje.Ulipendekeza maneno yapi yatumike hapo?
 
....Asidanganywe na hao jamaa zake (Freemasons) kauli ya kudai ni muda mchache tu umebaki (yeye kama Chibu) kuizamisha sayari ya DUNIA ndani ya CHUPA......Huko ni kumkufuru MOLA......alijaribu kuigiza msemo wa kwamba, DUNIA KWA SASA IKO KATIKA KIGANJA.....hizo si kauli za kumtukuza na kumshukuru MOLA.......Wamepita MANGULI wangapi na hawakuwa na KIBRI ama KEBEHI juu ya MAMLAKA ya MUNGU....!!?

Punguza dharau Chibu usidanganywe na WATU, hii Dunia sio yako ama ya Baba/Mama....

Umeikuta na utaiacha na kamwe huwezi kiweka ndani ya CHUPA..

Jaribu kuuzamisha MOYO wako tu kwanza.

Hizi busara ungezituma kwenye ile email yake: diamondplatnumz@gmail.com
Ukituma hapa hata wewe unapata dhambi maana huruhusiwi kumhukumu binadamu mwenzio na kama unataka kumuelimisha kwenye kheri unamfata mwenyewe bila kumuaibisha mbele za watu.
 
Hapo team KibA lazima wafunge mabakuli yao na kuweka vichwa chini
 
Bora amekigundua kipaji chake halisi, hzo ndo shughuli zake muziki alivamia ili apate mtaji, sasa awaachie wenye muziki wao waendelee kutuburudisha.....
Awaachie akina nani ?
 
huyu biashara ndio kipaji chake huku kwenye muziki alikuwa anatupigia kelele tu kwa kulazimisha fani.

Ina maana hata kina beyonce, Rihanna, Diddy, Jay Z, Niki minaj, Mariah Carey, Britney Spears, Lady gaga, Katy Perty nakadhalika hao kwenye muziki wanapiga kelele na kulazimisha fani miaka yote hii.? Maana wote hao nilowataja wana brand kubwa za perfume zinazofanya vizuri duniani ukiachana na muziki wao ambao bado pia unafanya vizuri. Hebu tuachage majungu basi, tuanze kuwaza ki karne ya 21 usiwaze kama uko enzi za middle stone age ndo unasubiri kuvumbua moto
 
....Asidanganywe na hao jamaa zake (Freemasons) kauli ya kudai ni muda mchache tu umebaki (yeye kama Chibu) kuizamisha sayari ya DUNIA ndani ya CHUPA......Huko ni kumkufuru MOLA......alijaribu kuigiza msemo wa kwamba, DUNIA KWA SASA IKO KATIKA KIGANJA.....hizo si kauli za kumtukuza na kumshukuru MOLA.......Wamepita MANGULI wangapi na hawakuwa na KIBRI ama KEBEHI juu ya MAMLAKA ya MUNGU....!!?

Punguza dharau Chibu usidanganywe na WATU, hii Dunia sio yako ama ya Baba/Mama....

Umeikuta na utaiacha na kamwe huwezi kiweka ndani ya CHUPA..

Jaribu kuuzamisha MOYO wako tu kwanza.
Endea kusapoti mziki wenu Wa kkoo
 
Ina maana hata kina beyonce, Rihanna, Diddy, Jay Z, Niki minaj, Mariah Carey, Britney Spears, Lady gaga, Katy Perty nakadhalika hao kwenye muziki wanapiga kelele na kulazimisha fani miaka yote hii.? Maana wote hao nilowataja wana brand kubwa za perfume zinazofanya vizuri duniani ukiachana na muziki wao ambao bado pia unafanya vizuri. Hebu tuachage majungu basi, tuanze kuwaza ki karne ya 21 usiwaze kama uko enzi za middle stone age ndo unasubiri kuvumbua moto
Kama Michael Jackson,Bob Marley,Tupac na legends wengine wa muziki walikuwa na Perfume zao basi hao uliowataja ukijumlisha na Diamond sio wapiga kelele.

alafu next time tunapozungumzia Wanamuziki usitutajie wafanyabiasha eboooo
 
Yeye kaandika 'the scent you deserve' wewe umekuja na the secret....., ulidhani amekosea???

BTW hongera kwake.

I can see you have made some impressive progress. Kijana anastahili pongezi, na kwakua segment ya mashabiki wake ni ya kati, ikiwa bie poa atapiga pesa sana, kuna watu watanunua jina na lebo sio ubora wa perfume.
 
Back
Top Bottom