Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam wana jamvi!
Msanii Diamond Platinumz na muhariri mkuu wa wasafi media uenda wakaingia matatani kwa kudaiwa kukiuka sheria ya takwimu na ile sheria ya habari zinazo kataza chombo cha habari kutoa takwimu bila kuwa na kibali au kuonesha chanzo cha takwimu hizo!
Hata hivyo sheria inataka chombo au mtu anayetaka kutoa au kutangaza takwimu alizozifanya au kuzichakata kuzipeleka ofisi ya taifa ya takwimu ili zithibitishwe au kuidhinishwa uhalisia wake kabla ya kwenda kwa wanachi!
Hata hivyo sheria inzitaka Kampuni au mashirika yanayotaka kukusanya takwimu kuwa na kibali cha kufanya hivyo! Kinyume na hapo ni kosa kisheria
Hata hivyo hayo yamejiri baada ya Wasafi media na Mmiliki wake kujitangaza kuwa wao ni radio namba moja nchini bila kueleza chanzo cha takwimu hizo na chombo kilicho fanya utafiti huo
Sheria ya takwimu na ile ya habari inazuia utoaji holela wa takwimu ili kulinda jamii na pia kulinda misingi ya biashara na kuepuka utoaji wa takwimu za uongo!
Ikumbukwe Wasafi Fm imeanzishwa miaka miwili tuu na inasikika Dare-es-salaam
Wasalaam