Tetesi: Diamond Platinumz na Mhariri Mkuu wa Wasafi huenda wakaitwa mbele ya TCRA au kizimbani kwa kukiuka sheria ya takwimu

Tetesi: Diamond Platinumz na Mhariri Mkuu wa Wasafi huenda wakaitwa mbele ya TCRA au kizimbani kwa kukiuka sheria ya takwimu

Mkuu mbona hana makosa yoyote anachokifanya yeye nikutangaza biashara yake kwa sababu amesema yeye ni no moja lakini ajatoa list yoyote ni sawa na kusema sisi ni bola kuliko wengine ,ambacho kwenye lugha ya biashara ndo inavyotakiwa na pia itafanya watu waende kusikiliza ili wajue kuna nini . shukrani
 
Kisheria, hata ukiwa unafanya advertisement taarifa yako lazima iwe sahihi.

Ndio maana hata maneno kama "Moja ya ... kubwa nchini", "chombo BORA", "kumjali mteja", n.k. hutumika kwa sababu kisheria maneno hayo ni magumu kuwa proven wrong, objectively.

Hivyo, hata kama TCRA hawatawachukulia hatua, bado ni kosa endapo kama radio yao siyo "namba moja" kutokana na takwimu rasmi.
 
I guess kwa sababu Diamond kaenda mbali na kushukuru, kama kwamba kulikuwa na matokeo mahala.
 
Hiyo kesi pia ni kiki kwa Mondi na wasafi fm.
hakuna kesi hapo.Rc anamaliza mchezo kimyakimya.
 
Hizo Telecom company zote zinapewa takwimu na TCRA hawawezi kuamka tu na kusema we are the leading cellular network

Fimbo za TCRA wanazijua , ukiona wameweka kitu hewani ni data za TCRA
sasa hii ya wasafi unajuaje Kama si ya tcra, use your brain
 
Hata hawa magolikipa naona watachukuliwa hatua za kisheria, hawawezi ujiita namba moja wakati ni kinyume cha sheria za nchi hii. Inabidi waeleze hizi takwimu wamezitoa wapi, yaani kusimama tu pale golini bila jasho ndio wawe namba moja?
Magufuli oyee.
 
Hizo Telecom company zote zinapewa takwimu na TCRA hawawezi kuamka tu na kusema we are the leading cellular network

Fimbo za TCRA wanazijua , ukiona wameweka kitu hewani ni data za TCRA
Acha unafki uzeeni utakuwa MCHAWI KIJANA WANGU
 
Back
Top Bottom