Diamond platinumz ndio nani????

Ndiye msanii pekee ambaye ni member wa "sifuliimachoni" na tayari amepanda cheo
Utakuwa na kidugu nyambafu,una,ani Kila anaetoboa ni mchawi Kama wewe #kajiunge kuandika hizo sifuri kwa kuvaa miwani machoni ili ufaulu Sana hesabu.
 
Hapa ndo utagundua watanzania wengi wachawi ila mnatofautiana uwezo wa kuroga. Nimefuatilia uzi, pamoja na makosa madogo ya kiuandishi ila mada imeeleweka.

Sasa hizo comment za mtoa mada akajifunze kuandika, zinatoka wapi, ikiwa mada umeielewa? Hata kama humpendi Diamond, piga kimya sio kukosoa ulichokielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…