Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Kalale kwani jmelazimishwa kuusoma huu Uzi diamond platinumz on fleakMsituchoshe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kalale kwani jmelazimishwa kuusoma huu Uzi diamond platinumz on fleakMsituchoshe
FactDon't hate be inspired
-ONTARIO
Wewe unajua?Kaka sawa wewe ni mdananda mzuri unajua kusifia ila jifunze kuandika...
SanaHongera zake!
Ila kwa comments za huu uzi inaonekana kwa bongo haters ni wengi
Go to sleepAina ya Uandishi kama huu sio mzuri badilika
Mr...100!!!???!Hawezi kumshinda mwandishi wa vitabu mashuhuri, Le Mutuz.
Utakuwa na kidugu nyambafu,una,ani Kila anaetoboa ni mchawi Kama wewe #kajiunge kuandika hizo sifuri kwa kuvaa miwani machoni ili ufaulu Sana hesabu.Ndiye msanii pekee ambaye ni member wa "sifuliimachoni" na tayari amepanda cheo
Hapa ndo utagundua watanzania wengi wachawi ila mnatofautiana uwezo wa kuroga. Nimefuatilia uzi, pamoja na makosa madogo ya kiuandishi ila mada imeeleweka.Diamond ndio
1. Msanii pekee ambaye nyimbo zake hazipigwi kwenye media na bado anakimbiza tofauti na ilivyokuwa kwa Sugu, Dudu baya pamoja na Z anto.
2. Ni msanii mwenye mashabiki wengi Afrika Mashariki pia ni moja ya wasanii wenye mashabiki wengi Afrika kwa ujumla . Ana followers million 5 kwenye mtandao wa Instagram ambapo hakuna msanii ambaye ameikia idadi hiyo. Pia yupo kwenye listi ya wasanii watano ambao wanafollowers wengi Afrika tofauti na wale ambao wanafanyia shughuli zao nje ya Africa.
3. Ni msanii mwenye manager wengi afrika, ana mameneja watatu ambapo hakuna msanii Afrika ambaye amefanya hivyo.
4. Ndio msanii mwenye nyota inayong'aa zaidi Afrika Mashariki ambapo ukiwa karibu naye itapelekea kung'aa zaidi. Kwa mfano miaka ya nyuma wasanii ambao walibahatika kuwa karibu yake waling'aa zaidi tofauti na sasa ambapo wanang'aa ila sio kama walivyokuwa na Diamond Platinumz. Wasanii ni pamoja na Ney wa Mitego,Shetta, Ommy Dimpoz n.k
5. Ndio msanii ambaye amefanikiwa kuwainuwa vijana kutoka mtaa na kuwa wasanii wakubwa ndani ya Tanzania na wengine nje ya Tanzania ambao ni Harmonize, Rayvanny, Mbosso, Lavalava. Pia amejiri vijana wengine kutoka mtaani kama vile photographer wake anayejulikana kwa jina la Lukambao pia ndo msanii aliyeajiri vijana wengi Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla kupitia vitega uchumi vyake ambavyo ni Diamond Karanga, wasafi TV, Chibu perfume. Pia ameajili vijana wengi kwenye label yake ambayo ni moja kati ya label kubwa Afrika.
Lakini Diamond ndiye msanii anayepigwa vita sana pamoja na kufanyiwa fitina za chinichini na wadau mbalimbali wa mziki ili asifanikishe malengo yake lakini pamoja na fitina hizo lakini hajawahi kukata tamaa na kila siku anazidi kufanya maajabu katika game hii ya bongo fleva yenye fitina nyingi na kuwa inspiration kwa vijana wengine.
Tafadhali ongezea vitu ambavyo vinamuweka juu huyu msanii wetu View attachment 839083