Diamond platinumz ndo Instagram ya Tanzania

Diamond platinumz ndo Instagram ya Tanzania

La Princesa

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
1,049
Reaction score
1,160
Hello wanajukwaa,kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,napenda kuthibitisha kwamba bila Diamond platinumz instagram Tanzania ingekuwa imepoa sana,kwa nini nasema hivyo?hebu angalia hizi facts...

1.Kila Zari akiongelewa Diamond lazima awe engaged

2.Hamisa akiongelewa DP lazima awe engaged

3.Tanasha akiongelewa,same issue

4.Ali K akiongelewa ni same

5.Now Harmonize anaongelewa D ndani

6. Bongo flavor ikiongelewa Diamond ndo case study

7.Wema Sepetu akiongelewa ni same issue,nani anapinga kama DP ndo baba lao?

Shikamoo Diamond,naomba uniazime nyota yako hata kidogo maisha yangu ni magumu inisaidie kutusua lol😁😁
 
Na je ikifa Instagram leo....tutasikiliza mziki wa nani?

huo umaarufu wao utakwenda wapi?
Mzee nakwambia siku Instagram ikizima hata masaa 48 tu watu watakufa sana wale Instagram celebrity hahaha!
.
Majuzi tu hapa haikuwa inafanya kazi vizuri walikufa watu.
Alafu wana bonge la mpango wa kuficha likes watasaidia sana aisee
 
Ifike hatua serikali ianze kukusanya kodi kwenye kila mauzo ya ugoro yanayofanyika.
 
Back
Top Bottom