Diamond Platinumz ni mwanamapinduzi wa kweli ni zaidi ya msanii

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066

Diamond Platinumz msanii namba moja Africa ni zaidi ya msanii.

Mimi namuita mwanamapinduzi au kwa kilami wanasema game changer na anaendelea kulionesha ilo kwa vitendo.

Jambo lolote ambalo lilionekana haliwezekani kwenye industry yetu ya burudani yeye alibadilisha mtazamo na kuwa inawezekana.
Kautoa muziki wetu mbali kutoka kuwa muziki wa masela na mwanangu mwanangu mpaka kuwa industry yenye wafanyabiashara.

Kila mtu alimshangaa miaka zaidi ya kumi nyuma aliposema hawezi kufanya show chini ya dau la million 10 leo hii tunaona wasanii wanafanya shows za dollar elfu 50.
Amekuwa mfanyabiashara mkubwa wa music lebo, media, betting, real estate na kuna biashara nyingine kubwa anakuja kumtambulisha mwaka huu.
Uzuri wasanii wengi wanaiga mazuri yake na si vibaya kujifunza kwa waliofanikiwa kinachowashinda tu uwa ni consistency.
Diamond Platinumz anaanzisha wengine wanafata mwana mapinduzi.
 
We zombie haujui!
 
Hapo amevaa gauni ? Della? Sketi? Mtandio au nini hicho?
Concentrate kwenye content uwe inspired mavazi ni fashion zinapita ila content niliyoweka hapa inaweza kukusaidia mpaka vizazi vyako.
 
Hapana mkuu
Nimefurahi sana kuona mnafanana sana na Steve nyerere mtazamo, tabia mpaka uwezo wa kufikiri
Mapinduzi ya Diamond Platinumz kwenye game yanakukera? Sema tuone namna ya kukusaidia
 
Msanii namba Moja kwenye issue gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…