Diamond platinumz ni THE G. O. A. T

Sio kweli...hivi Diamond ana muziki mzuri kushinda Kiba?(I stand to be corrected)maana Dodoma nilimuona mama Samia akivunja protocols kwenda kumtunza Kiba
 
Sio kweli...hivi Diamond ana muziki mzuri kushinda Kiba?(I stand to be corrected)maana Dodoma nilimuona mama Samia akivunja protocols kwenda kumtunza Kiba
Mbona hata ZUCHU queen of bongo fleva[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Diamond mbuzi!!
Usinifokee
Huu msemo wa Usinifokee mmeutoa wapi nyie watoto?

Maana kila nipitapo caption lazima imaliziwe na "msinifokee"

Tunaambiwaga wanaume mama yetu mmoja ila namimi nasema

wanawke mwalimu wao n mmoja walahi vile haiwezekani hii kitu ikasambaa hv.
 
Mkuu Diamond Yule jamaa ni mchawi Muache kama alivyo
 
Huu msemo wa Usinifokee mmeutoa wapi nyie watoto?

Maana kila nipitapo caption lazima imaliziwe na "msinifokee"

Tunaambiwaga wanaume mama yetu mmoja ila namimi nasema

wanawke mwalimu wao n mmoja walahi vile haiwezekani hii kitu ikasambaa hv.
🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo nawewe wanifokea au siyo?
 
Tofauti nyingine Alikiba alienda alfajiri watu bado wamelala na diamond alifika mchana watu wapo wengi ,mapovu ruksa jumamosi nataka kufua nguo
 
tofauti nyingine alikiba alienda alfajiri watu bado wamelala na diamond alifika mchana watu wapo wengi ,mapovu ruksa jumamosi nataka kufua nguo
LADYLUV Kwa akili yako ya kawaida tu unaamini Kiba ana mashabiki wengi kuliko diamond?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…