Diamond platinumz ni THE G. O. A. T

Diamond platinumz ni THE G. O. A. T

nikutokana na mapokezi yake makubwa kigoma, ambapo alikiba mzee awezi fikia.

Maana alikiba wameudhuria watu hata 100 hawajafika, huku diamond walikuwa zaidi ya 10000,na kuandika historia kubwa.

Kwahiyi Kama wanajamvi kwenye jukwaa la celebrities tumeamua kwa moyo mmoja kumpitisha DIAMOND kuwa the GOAT.

Sina timu ila ni fan wa mziki mzuri,na atkae ongea fyongo anakula block na ban juu.

Povu kafukie sabuni
Sio kweli...hivi Diamond ana muziki mzuri kushinda Kiba?(I stand to be corrected)maana Dodoma nilimuona mama Samia akivunja protocols kwenda kumtunza Kiba
 
Sio kweli...hivi Diamond ana muziki mzuri kushinda Kiba?(I stand to be corrected)maana Dodoma nilimuona mama Samia akivunja protocols kwenda kumtunza Kiba
Mbona hata ZUCHU queen of bongo fleva[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Diamond mbuzi!!
Usinifokee
Huu msemo wa Usinifokee mmeutoa wapi nyie watoto?

Maana kila nipitapo caption lazima imaliziwe na "msinifokee"

Tunaambiwaga wanaume mama yetu mmoja ila namimi nasema

wanawke mwalimu wao n mmoja walahi vile haiwezekani hii kitu ikasambaa hv.
 
Mkuu Diamond Yule jamaa ni mchawi Muache kama alivyo
 
Huu msemo wa Usinifokee mmeutoa wapi nyie watoto?

Maana kila nipitapo caption lazima imaliziwe na "msinifokee"

Tunaambiwaga wanaume mama yetu mmoja ila namimi nasema

wanawke mwalimu wao n mmoja walahi vile haiwezekani hii kitu ikasambaa hv.
🤣🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo nawewe wanifokea au siyo?
 
Tofauti nyingine Alikiba alienda alfajiri watu bado wamelala na diamond alifika mchana watu wapo wengi ,mapovu ruksa jumamosi nataka kufua nguo
 
tofauti nyingine alikiba alienda alfajiri watu bado wamelala na diamond alifika mchana watu wapo wengi ,mapovu ruksa jumamosi nataka kufua nguo
LADYLUV Kwa akili yako ya kawaida tu unaamini Kiba ana mashabiki wengi kuliko diamond?
 
Back
Top Bottom